Mkuu ukiwa na pesa hata uwe mbaya vipi utagombaniwa tu.Sijaisikiliza, nimeona neno Mapenzi halafu naona mwanaume mzima anatoka machozi....... Ushauri wangu, 'TAFUTA PESA' .... Wanaolizwa na mapenzi 95% hawana pesa.... Huna pesa, unajidai kupenda mpaka unalia machozi.. huo ni usengemtupu
Ndo manake yani.. ulimwengu wa sasa huna pesa--> huna matanuzi --> mboga saba zote za majani .... mapenzi hayo ya kweli yanatoka wapi??? Lazima ulizwe tu hakuna jinsiMkuu ukiwa na pesa hata uwe mbaya vipi utagombaniwa tu.
Wanawake wanaendaga kuolewa na wenye pesa halaf baadae wakishakuwa na kila kitu bila penzi wanaanza kusumbua yule kijana alieyemkimbia kwa sababu hana kituTaswira ya machozi ya jamaa hazitafView attachment 473480 utika kwa mdada