Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 379
Habarini wadau,
Jamani kuna inshu hapa inanitatiza,
Mimi nina mwanamke ambae baadae atakuja kuwa mke wangu na nimezaa nae mtoto mmoja, ila kwa muda mrefu tunaishi mbalimbali mimi nikachepuka kwa msichana wa kwanza nimeishi nae lakini mwisho wa siku kaanza visa akaniacha nikapiga moyo konde na nikamsahau lakini mwaka huu kaomba nimrudie nikamkubalia lakini nikamwambia mi tayari nina mke sitaweza kumuoa, akasema sawa hata yeye anamchumba wake lakini naona kaanza tena masula yake ya zamani.
Pia nina mchepuko mwingine ambae alidhani nitamuoa lakini nikamwambia mi nina mchumba na mtoto, akatulia tukaishi lakini hivi karibuni mwezi uliopita kanitumia msg nyingi za kashfa na kuniambia nikome kumpigia simu wala kumtext mi nikamjibu sawa lakini juzi ananitumia SMS eti zile hasira tu bado ananipenda, jamani hawa wanawake wananitafuta nini mi nkijaribu kuwasahau na kuwatoa moyoni wanajileta tena kwangu.