Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu wana JF, poleni na majukumu ya hapa na pale. Naheshimu sana walioanzisha au gundua condom ila kwa mtazamo wangu kama mtu unafanya nae ngono kwa kutumia condom ujue huyo mtu...
8 Reactions
166 Replies
16K Views
Napenda mwanamke ajue kuwa yeye ni mwanamke. Napenda mwanamke asivae wigi Napenda mwanamke asijipake Ile mirangi rangi, asipake wanja Napenda mwanamke asijichubue, aridhike jinsi alivyo Napenda...
10 Reactions
169 Replies
14K Views
Habarini wana Jf Wiki kama tatu zilizopita Mpenzi wangu amebadilika ghafla baada ya kushika ujauzito, Nimejaribu kuvumilia hiyo hali sana kwasababu nimeshasikia kuwa wanawake wakiwa na Mimba huwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za leo wanajamvi, Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la...
15 Reactions
305 Replies
22K Views
Habari za muda huu wana JF Kama kichwa cha habari kinavosomeka, Kwa ndugu,jamaa na marafiki kukopeshana ni jambo la kawaida sana ktk jamii zetu ili kuweza kuendesha maisha yetu. Je 1 Hata watu...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubali. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa. Mwalimu...
0 Reactions
172 Replies
28K Views
Kuna mama ana miaka kama 37, mama yuko manshallah tu na alinipenda nkapiga show, nikazoea nae akawa kama demu wangu, sasa mama huyu ana binti nae kanipenda japo yeye sijapiga show ila kanambia...
5 Reactions
76 Replies
9K Views
Habari wanabodi, Leo nina jambo ambalo limenihuzunisha sana ambalo napenda kuwashauri wanaume wenzangu hasa wa hapa JF wanajisifia wao ni mashababi na hata wanawake walioolewa yaani wake za watu...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Habari za leo wana JF. Ninakuja mbele zenu na hoja yangu ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta mke. Lakini kwanza nataka tuanze na urafiki wa kawaida, tufahamiane halafu tuendelee...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu! Nilikutana na msichana katika mazingira flani hivi ambapo kila siku ilikuwa lazima tuonane, na tukazoeana na ikafika wakati nikamwambia kuwa nampenda, hakunizungusha sana akakubali. ki umri...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ni kijana smart tangu mwonekano, tabia na fikra pia ni mdogo kwangu kiumri hivyo Mara nyingi amekuwa akihitaji msaada wangu wa ushauri kila anapokuwa na tatizo na mimi kwa kadri...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa wenye watoto hostel tuwe na muda wa kuwahoji watoto wakati wa likizo mana kuna vitendo vingi vya bullying (matokeo yake baadae ni mtoto kukosa confidence ukubwani, au hata kuwa na roho mbaya)...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote. Mwanaume ninaemuhitaji...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Habari zenu wapendwa. Mimi ni binti nahitaji marafiki wa kike na wamama pia Kigezo ni uwe mcha Mungu umeokoka.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ilivuma sana kila kona Tanga ni nomaaa ingawa wengine walipaita waja leo waondoka leo. Lakini watu waliofika walizidi kupapaisha kwa kudai kuwa ukifika Tanga hubanduki kabisa. Yote hayo yalizidi...
6 Reactions
69 Replies
8K Views
Masalkheri wapendwa, Leo nimekuja na story ya shost Victoriia, shost huyu sijawahi kugombana nae na nimemfahamu kwa Zaidi ya miaka 15 sasa. Shost Victoria si muongeaji wala hanaga ubuyu. Hata...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe...
6 Reactions
168 Replies
17K Views
Huo ni Unyago wa kusini Ila nililalia mwaka sipati bibi ,sasa mwaka huu sikubali. Nilianza na Komanga sikukubali usiku kucha. Minawa nayo pia. Nikajaribu Kiangulo nayo pia basi nimelalia mwaka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna wale watoto walaini laini wanaoshindia chipsy tunawaita watoto wa mama maana ni wadhaifu Sana goli moja tuu wanahema mpaka povu wakaja na mbinu Ya akitoka na dem mbio kwenda kuboost na viroba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…