Bwana Apewe Sifa!
I am trying so hard to change but the hood is bringing me down. Kweli ukihustle sanaaa unaathirika ki saikolojia, yaaani baaaaas, hata ujitahidi vipi athari ndo zishakupata...
Salam wakuu leo nimekuja kuomba ushauri.
Kuna dem nimempenda sana lakini kwao wana pesa sana nimeanza mazoea nae kupitia WhatsApp na tunachat vizuri tu ila bado hatujawai kuonana ana kwa ana...
So today I'm feeling a little rush. I think I've got a little crush on you.
Yes, you. You who shall remain nameless, at least for the time being.
But, if you happen to stumble upon, you'll know...
Nilipomaliza chuo, nilipata kazi katika mkoa huu, sikuwa ninamfahamu mtu hata mmoja. Aunty yangu alinitafutia nyumba kwa rafiki zake ambao ni watu wazima, mume na mke. Nyumba ni kubwa ya vyumba...
*KWA WANAWAKE WANAWAKE..!*[emoji182][emoji151][emoji168]
Shalom wana wa Baba!
_Naomba niwaletee hii kwa wadada tu..._
Mabinti wengi wanapokuwa kwenye uhusiano na mwanaume wanayempenda, na...
Leo kwa bahati nzuri nimesali kwenye misa ya watoto. binafsi ni mdau mnzuri ya ibada hii na huwa inanisaidia kuondoa stress za kimaisha kwa jinsi watoto wanavyofurahi ibada yao huku wakijiachia...
Habari zenu wakuu,
Baada ya kuwa off relationship kwa takribani a year now hii ni kutokana na kuumizwa na mtu niliyekuw ktk mahusiano kwa takribani 2 years na ambaye kwa kweli nilitegemea...
Sina Nia wala Dhamira ya kupoteza jamii kwa kuhalalisha haramu kuwa halali,na halali kuwa haramu ,Hapana !
Lengo langu ni kuwekana sawa na ikiwezekana kurudishana kwenye mstari,
Na hatuwezi...
Habari za muda huu wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale.
Katika pitapita zangu huwa naona vichaa, wengine wana mimba, wengine tayari wameshajifungua watoto wao.
Swali linakuja;
1 Kuna...
Habari ndugu wanaJF..leo nataka niwaletee mrejesho part2...kama mnakumbuka thread yangu ya kwanza basi na hii mtaelewa muendelezo...
BASI TUZAME NDANI..
Juzi kati hapa binti alinisumbua kutaka...
Khali zenu.
Majuzi kati nimekutana na mchizi wangu wa longi wa mataifa bado hamuona Yesu maishani mwake akawa ananipa story kwamba kaja kariakoo kutafuta tendeee. Nikashangaa mtu wa bara na tende...
KWELI TENDA WEMA NENDA ZAKO .....USISUBIRI SHUKURANII.
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya kuwa chongo. Mwanae alijisikia aibu kutembea na mama yake mwenye...
habar zenu wakuu
Ni jumapili nyingine tulivu nikiwa nimejilaza ghafla nimeshtuka naanza kumuwazia kijana mmoja ambaye alinitokea kama mwaka mmoja na nusu uliopita ni mfanyakazi katka wizara moja...
kwann watoto wadogo wakizunguwanavuatia sna kulko watotto wadogo wa tanzania africa. ukiwakuta park wanacheza unataman uwashike wasaf wanavutia. wana furaha mda wote kulko watoto wa tanzania au...
Imekuwa ni kawaida yetu wengi tunapoachana katika mazingira ambayo hatuko radhi kuachwa au kuacha huwa tunaamua maamuzi ambayo mimi binafsi nayaita si sahihi na sababu zangu nitaziweka hapa...
بسم الله الرحمن الرحيم.
WAMELAANIWA NA HAWATOANGALIWA KWA JICHO LA HURUMA SIKU YA KIAMA WENYE KUINGILIANA KINYUME NA MAUMBILE (LIWATWI).
Kutokana na jamii kuiga mambo ya kimagharibi kuliko...
Mimi ninaishi na mwanamke ambaye nimezaa mtoto mmoja ila sababu ya kuishi naye ni ujauzito wa huyo mtoto kwani nilimuhaidi nitalea mtoto Ila yeye aishi uko nyumbani kwao, akakataa na kudai atatoa...