Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,079
- 4,925
Leo kwa bahati nzuri nimesali kwenye misa ya watoto. binafsi ni mdau mnzuri ya ibada hii na huwa inanisaidia kuondoa stress za kimaisha kwa jinsi watoto wanavyofurahi ibada yao huku wakijiachia kwa miruzi na kelele katika kushangilia pale wanapruhusiwa.
hivyo nikawaza sana lakini pia nikaona wazazi wao jinsi walivyo na bahati kwa kuwa nawatoto hawa. lakini lililokubwa ni jinsi wanawake walivyojitoa sadaka kwa kushalilika kubeba mimba huku wakiteswa na waliowapa lakini mwisho wa siku watoto walizaliwa na sasa wanakuwa.
ninachotaka kusema wakinadada msitoe mimba haijalishi mnapata au mnapita kwenye matatizo gani lakini mnahaki ya kutetea uzao wao.
kwangu naamini tendo la zinaa ni dhambi mimba inaweza kuwa matokeo ya dhambi na yenyewe sio dhambi lakini tusichojua wanadamu tunachukia matokeo kuliko dhambi yenyewe na matokeo yake badala ya kuwawpa moyo waliopata mimba tumebaki kuwatenga kama sisi hatufanyi hizo dhambi.
eti mwanamke aliyetoa mimba anaonekana wa maana kuliko mwanamke aliotoa aliyezaa!
Lazima jamii ibadilike na itazame upya mtazamo wao!
mwanamke tetea mwanao ana haki ya kuishi pia.