Kwanini watoto wa kizungu wanavutia kuliko wa kiafrika

Tatizo maisha mkuuu,wenzetu wale baadhi ya matatizo washamaliza kabisa,mfano elimu,kula(lishe),huduma za kiafya.Lazima maisha yaanzie furaha mbali,lakini huku mtoto anakuwa na shida zake,unafikiri furaha itatoka wapi???mtoto anaanza kuzijuashida akiwa mdogo
 
nmekuelewa. asante sna
 
Hakuna , kwani wewe unalea au unafuga. Sikutukani hapani, waafrika tunafuga watoto, hatulei! Tafuta tofauti kati ya kulea na kufuga then utaona kuwa tunafuga, hatulei!
Nawewe pia nakupa tusi nililomtuka mwenzio, inawezekana kweli miafrika mnafuga watoto, lakini mimi nalea watoto wangu. We kama wako unawafuga kalagabaho. We fuga tu wenzio waje wakamue, hakuna namna, usha kiri kuwa na ishakuwa kwako na wenyeakili kama zako, hakuna namna. Na inawezeka sahizi ushapiga kitwanga zako kichwani kisha unaenda nyumbani saa tano mifugo yako isha lala.
 
kwann watoto wadogo wakizunguwanavuatia sna kulko watotto wadogo wa tanzania africa. ukiwakuta park wanacheza unataman uwashike wasaf wanavutia. wana furaha mda wote kulko watoto wa tanzania au africa? kwann watoto wakzung wazur kwann
Kwani wewe mwenyewe unavutia?
 
Pambaf, watoto wako na wamtaani kwenu ndo hawavutii, mimi watoto wangu waswahili lakini wanavutia.

Kaka unaemjibu ni binti wa sekondari,ni mtanzania akahamia canada na wazazi wake na anasoma huko na hata inawezekana hata miaka 20 hajafika
Pambaf, watoto wako na wamtaani kwenu ndo hawavutii, mimi watoto wangu waswahili lakini wanavutia.
 
Back
Top Bottom