Uhakiki kwa mwanamke aliyewahi kutoa ujauzito au kuzaa

Lukumboy

Member
Feb 5, 2017
28
6
Naomba kujua hivi Kuna viashiria vyovyote vinavyoweza kuonyesha kama mwanamke amewahi kutoa mimba au kuzaa?
 
Wamama wanaweza fahamu mtu aliyezaa, ila sijui kuhusu kutoa mimba.
 
Aliyezaa unajua.. Aliyetoa mimba huwezi Mkuuu labda usimuliwe..

Aliyezaa unamgundua kwa kuangalia kifua.. Tumbo.. Nyonga..
 
Mwanamke ambaye amwshazaa chuchuzake zinakuwa nene na nyeusi , kuhusu kutoa mimba mmmhhh …
 
Mpe namba yangu aje nimchunguze, baada ya siku mbili nitakupa majibu ya maswali yako yote kwa uhakika kabisa
 
Aliyezaa Na Aliyetoa Mimba Ukitaka Kuwajua Ni Ile Siku Unajikuta Umesomesha Mtoto Hadi Chuo Kumbe Sio Wako Vipimo Vingine Kwa Kweli Havina Uhakika Sana
 
Naomba kujua hivi Kuna viashiria vyovyote vinavyoweza kuonyesha kama mwanamke amewahi kutoa mimba au kuzaa?
Baadhi wakitoa mimba au kuzaa hubaki na alama zifuatazo:
1. Tumbo lisilo la kawaida (kubwa/legevu)
2. Matiti kuwa makubwa/malegevu/yalolala
3. Alama nyeusi ya kwenye chuchu kuongezeka ukubwa wake mara dufu
4. Kimstari kilichokolea zaidi kutoa kwenye kitovu kuelekea juu au chini
5. Ukubwa usio wa kawaida wa maumbile yake ya kike.
6. Kama alijifungua kwa operation utaona kovu lililo kama mstari mrefu lililo ktk uralo au wima maeneo ya tumboni.
 
Kama sikosei mwanamke yoyote aliyewahi kushika mimba, akipelekwa hospitalini wenye vipimo vikubwa watamtambua, awe aliitoa au alizaa ila watamtambua.

Kama Mwanamke alishawahi kudhaa, wengi wao huwa ni rahisi kwa kuwatambua maeneo mbalimbali.

Kwa Mwanamke aliyewahi kutoa mimba, HUWEZI UKAMTAMBUA KWA KUMTAZAMA MACHONI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom