Tahadhari kwa wale wanaofanya ngono ya kinyume na maumbile maarufu kama Tigo

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Jan 11, 2014
2,537
2,530
بسم الله الرحمن الرحيم.

WAMELAANIWA NA HAWATOANGALIWA KWA JICHO LA HURUMA SIKU YA KIAMA WENYE KUINGILIANA KINYUME NA MAUMBILE (LIWATWI).

Kutokana na jamii kuiga mambo ya kimagharibi kuliko kutokana na kuangalia Sinema na Internate jambo la kuingiliana kinyume na maumbile limeshika kasi hadi kwenye baadhi ya wanandoa walio oana kwa mujibu wa sheria.

CHANZO NI NINI?.

Huenda mume kabla hajaoa alijidanganya kufanya kitendo hicho akidhani anawafanyia malaya tu, na atioa ataacha kumbe ni kinyume kabisa kwani Shetani haambiwi hivyo.

Mwanamke pia huenda alijidanganya kufanya kitendo hicho kabla hajaolewa akijidanganya atakapo olewa ataacha hiyo ni njia tu ya kuchuna Mabuzi, thubutu Shetani hajaribiwi.

lkiwa wameoana watu ambao kabla ya ndoa walikua wanazini kwa kuingiliana kinyume na maumbile hawa kamwe hawawezi kuacha baada ya kuoana.

Ikiwa wameoana bila ya kuzini huko mwanzo na kila mmoja alikua anaufanya mchezo huo hawa ni lazima kila mmoja atamshawishi mwenziye juu ya jambi hilo na wataliendeleza.

Ikiwa mume alilizoea jambo hilo na akaoa mke bila ya kuzini nae na huyo mke halijui jambo hilo atamshawishi ili alifanye akikubali ndoa itaendelea kuwepo na asipokubali mwanaume atatumia nguvu na huo utakua ni mwisho wa ndoa hiyo.

Mwanamke ikiwa ni mzoefu wa jambo hilo kisha akaolewa na mume asiye lijua jambo hilo atamletea ushawishi asipomnasa hapo anaweza kumuibia (lugha kubwa) ikiwa mume atakubali baada ya kujua itaendelea ndoa hiyo, lakini mume asipo kubali atamuacha mke huyo na akiendelea kuishi nae itatoka nje ya ndoa ili kukidhi haja yake.

HUKUMU JA JAMBO HILO.

وطء المرأة في الدبر من كبائر الذنوب ، ومن أقبح المعاصي ،

Kumuingilia mwanamke katika tupu ya nyuma ni katika madhambi makubwa na maasi mabaya.

عن النبي صلى الله عليه وسلم أنه قال : مَلْعُونٌ مَنْ أَتَى امْرَأَتَهُ فِي دُبُرِهَا ( رواه أبو داود 2162)

Kutoka kwa Mtume swalla llaahu alayhi wasallama amesema, Amelaaniwa mwanaume mwenye kumuingilia mke wake katika tupu ya nyuma ( Abuu Daudi 2162)

.قال صلى الله عليه وسلم : لا يَنْظُرُ اللَّهُ إِلَى رَجُلٍ أَتَى رَجُلا أَوْ امْرَأَةً فِي الدُّبُرِ ( رواه الترمذي 1166)

Amesema Mtume swalla llaahu alayhi wasallama, Hatomtazama Mwenyezi Mungu mwanaume aliyemuingilia mwanaume (mwenziye) au mwanamke katika tupu yake ya nyuma (Tirmidhiy 1166)

AFANYEJE ALIYE FANYA KITENDO HICHO?.

Ni wajibu kwa mwenye kuyafanya hayo kujiwahisha kutubu toba ya kweli nako ni kujivua katika maasi aliyo kuwa akiyafanya na kuyaacha kwa kumuogopa Allah mtukufu huku akijihadhari na adhabu zake, na kujuta kwa kuyafanya hayo huku akiazimia kutorudia tena pamoja na kujitahidi kufanya mambo ya kheri, hakika mwenye kutubu toba ya kweli Allah mtukufu atamsamehe.

وَإِنِّي لَغَفَّارٌ لِمَنْ تَابَ وَآمَنَ وَعَمِلَ صَالِحًا ثُمَّ اهْتَدَىٰ

Na hakika Mimi ni Mwingi wa Kusamehe kwa anaye tubia, na akaamini, na akatenda mema, tena akaongoka (Twaha 82).

JE KUNA KAFARA JUU YA JAMBO HILO?.

Hakuna kafara kwa mwenye kumuendea mke wake kinyume na maumbile na wala ndoa haivunjiki, lakini anapaswa huyo mwanamke mwenye kufanyiwa kitendo hicho kwa lazima kujiepusha na mume huyo na siyo mume wa kuishi nae katika maisha ya ndoa, na hakuna utiifu juu ya jambo hilo ajiondoshe katika ndoa hiyo endapo huyo mume hajakubali kuacha na kutubia, akimnyamazia na kitendo kikaendelea mpaka akazoea basi ajue na yeye ni miongoni mwa wanaofikwa na laana ya kufanya jambo hilo na atakuwa miongoni mwa wenye kukutana na adahabu ya Allah mtukufu.

قال النبي صلى الله عليه وسلم "الإسلام يهدم ما كان قبله والتوبة تهدم ما كان قبلها(رواه مسلم)

Amesema Mtume swalla llaahu alayhi wasallama, Uislamu unafuta yaliyo kuwa kabla (ya kusilimu mja) na toba inafuta yaliyo fanyika kabla yake.(Muslimu).
 
kwanini haya mambo yamezidi sana pwani na zenji au maeneo yenye waarabu?
 
Hata biblia takatifu imekataza. Hiyo ni dhambi mbele za mungu
 
Hapana Fanya chunguzi utagundua sio pwani pekee hata bara ila pwani kumezidi jambo hili na kwasasa Dar ndio inayoongoza kwa mtindo huu!!
Ndio maana huyo jamaa akauliza KWANINI PWANI NDIPO KUMEZIDI HUO ULAJI TIGO?
 
Internate Internet

Unaposema kutokana na kuiga mambo ya umagharibi, sio kweli sheikh wengine hawajaiga huko ila ni wafanyaji wa hayo.
 
Sema mkuu na pia kumla samaki upande mmoja wa pili watakula kunguru bora ule mwenyewe tu
 
Back
Top Bottom