Wanawake wanalazimisha kuolewa, hii style ni hatari

Ndara Mbovu

Senior Member
Feb 28, 2017
155
83
Mimi ninaishi na mwanamke ambaye nimezaa mtoto mmoja ila sababu ya kuishi naye ni ujauzito wa huyo mtoto kwani nilimuhaidi nitalea mtoto Ila yeye aishi uko nyumbani kwao, akakataa na kudai atatoa mimba hawezi kulea mimba peke yake na kama nitamtumia hela ya matumizi basi angeitumia kutoa mimba, nikaona bora aje nyumbani nilee mimba na mtoto akitimiza miaka 1.5 aondoke, kweli nimeishi na huyo mwanamke kwa kipindi hicho chote.

Baada ya hapo nikamkumbushia ahadi tuliyo agana, yeye hakukubali kuondoka, alinifikisha kwa viongozi wangu na mimi nikawaeleza juu ya ahadi yetu na nikawaambia kila kitu nilichonacho achukue kasoro nyumba anaweza akaenda akaishi pale mana bado finishing kidogo tu ikamilike Ila hyo nyumba ni ya mtoto so ataishi pale kwaniaba ya mtoto mana yeye anaweza akaolewa nyumba itabaki ya mtoto, yule mwanamke akakataa anadai anataka kuishi na mimi, wakati huo mi kuishi naye kama naigiza tu maana moyoni hayupo, ila kwa kipindi sikuwa na mahusiano na mwanamke yoyote zaidi ya wale wakudunga siku moja unasepa.

Basi kuna siku napigiwa Simu na demu anaongea kingereza anadai anashuka kwenye ndege anatokea cape Verde kwa hyo yeye yuko mwalimu nyerere airport ila kuna rafiki yake anaitwa Vandra yuko Mexico amempa namba yangu na amemtambulisha naitwa Mark John na naihitajika niende bandari ya Dar kuna kontena la mzigo limetumwa kwangu, wakati mimi siitwi hivyo , nikamwambia ume wrong No.

Akawa ananisumbua kila Mara kwenye Simu wakati uo anaongea kingereza slangy ya kuminya maneno kwa hyo kumsikia napata kazi, nikamwambia tuna SMS basi hapo kidogo tukaelewana, ilipita wiki 1 baadae nikamtongoza akanielewa akaniambia yeye amekulia cape Verde ila wazazi wake wako Tanzania na amewahi kuishi hapa na pia anakifahamu kiswahili kidogo kwa hiyo tukaanza kuchati kiswahili baadae akaniambia angependa kubaki Tanzania na anataka kuwa tour guide.

Kumbuka wakati huo mimi mwanamke ninyeishi naye simpendi nikaona ngoja nimwambie aje tuonane kweli alikuja songea akitokea Arusha tena kwa nauli yake, nilimpeleka guest za uswazi mana alishaniambia amenikubali kwa kila hali,nilikula mzigo kisawasawa mwenyewe akasema hajawahi enjoy sex kama alivyoenjoy kwagu.

Nikampangishia nyumba uswazi, vyumba bei raisi na mimi nikahama Kota nyumba ya serikali ambako kuna yule mwanamke na mtoto wangu na kuamia kwa huyu mwanamke niseme ukweli alinivutia umbo lake na hata sura yake,
nilimwadisia kuhusu yule mwanamke mwenye mtoto wangu akasema tukiwa pamoja tutaweza kumpa mwanake niliyezaa nae kiasi cha hela million 3 kama mtaji na nyumba niliyojenga nimwachie kwa sababu anamtoto wangu, akaniambia kuhusu swala la hela nispate taabu yeye anajuana na wazungu wengi ni marafiki zake kwa hyo akiwa request kuhusu fedha watampa ilimradi wajue anaenda kufanyia nn, pia ana foundation ya kulea watoto uko cape Verde inamlipa kutokana na wafadhili kuwanao wengi na hapa kwangu aliniambia atafungua kwa ajili ya street children na ahadi kibao kumbe alikuwa ananitongoza,
Kunakipindi mwanake niliyezaa naye akawa ananisumbua,sasa yeye akawa animbia tujitahidi tufunge ndoa ndani ya miezi 3 ili kuondokana na usumbufu wa uyo mwanamke

Shida nilipoanza kumchunguza nikamuuliza Cape Verde iko wapi akaniambia Maputo Mozambique wakati mimi najua iko West Africa, nikamuuliza mji mkuu wake akasema mbona namuuliza maswali mengi simwamini, akapaniki anaongea kingereza broken,nikamuliza kireno unakifahamu akawa hanajibu, mana kuna rafiki zangu wanakifahamu so unajua uku mpakani na msumbiji. nikamrudisha alikotoka Arusha na kublock namba yake ya Simu huo ukawa ndo mwisho wa picha.

Wanawake msiwe waongo mnataka kuwa wanaume.
 
Nimekushusha grade uliposema mwanamke unayeishi nae humpendi
Yaani mpaka umpe mimba na ukubali kukaa nae 1.5 yr bado unasema kwa ujasiri kwamba ukaamua kumtongoza mwanamke hata ambae hukuwahi kumjua?

We Malaya mkuu
Samahani lakini
 
Ukweli ni kwamba, wanawake wamekuwa matapeli!

wanajivika sifa za uongo ili wapate soko, siyo wakweli asilani!

wanakuahidi vitu ambavyo, hawatatokea kutekeleza asilani!

ukijifanya unavusha, ushafikisha kwako tu!
kinakuwa kichomi cha kwenye moyo, hata kama umeoa, mtindo mmoja utakuta kila mtu analalamika, ukimuuliza kwa kina utakutavkatapeliwa ki mapenzi, tunakoelekea hata dini kwa wanawake zitapata mtihani zaidi!
 
Wanawake tunasimangwa sana mpaka hawa viumbe hawatuthamini

plz plz plz, usikubli kubebe mimba ukaishi tofauti na huyo mwenye mimba mambo eti atakutumia pesa ya matumizi? Huo ni ujinga.

Hivi wanaume mmerogwa na nani? Yaani unajidai kuwa huyo mwanamke humpendi wakati uliweza kumpanua miguu? Kwann hukuwapanua hao unaowapenda? Bure kabisa
 
Nimekushusha grade uliposema mwanamke unayeishi nae humpendi
Yaani mpaka umpe mimba na ukubali kukaa nae 1.5 yr bado unasema kwa ujasiri kwamba ukaamua kumtongoza mwanamke hata ambae hukuwahi kumjua?

We Malaya mkuu
Samahani lakini
Huyu mwanake alitaka kutoa mimba yangu tena ndo mtoto wangu wa kwanza mana tangia hapo nilimwambia kwamba umekuja kulea mimba na mtoto ukitoka na hata wazazi wake walikazania nimchukue niliwaambia hvyo.ila kwa kipindi hcho chote nilidhani nitampenda Ila wapi niliona kama naigiza kumpenda.
 
Huyu mwanake alitaka kutoa mimba yangu tena ndo mtoto wangu wa kwanza mana tangia hapo nilimwambia kwamba umekuja kulea mimba na mtoto ukitoka na hata wazazi wake walikazania nimchukue niliwaambia hvyo.ila kwa kipindi hcho chote nilidhani nitampenda Ila wapi niliona kama naigiza kumpenda.
Bado pepo la uhuni linakuandama ndo maana mwili wako unawaka tamaa.
Kataa kubali, hata huyo unayedhani ni mzuri na unampenda ukishakua nae kwa muda utakuja kuona humpendi tena kama mwanzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom