Wahusika wa hizi mimba za vichaa ni nani?

Bob12

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
11,422
58,788
Habari za muda huu wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale.

Katika pitapita zangu huwa naona vichaa, wengine wana mimba, wengine tayari wameshajifungua watoto wao.

Swali linakuja;

1 Kuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kumuingilia kichaa kimwili mpaka anapata hiyo mimba au ni vichaa wenzake?

2 Je na huyo kichaa anayeingiliwa anakubali mwenyewe au ndo kubakwa?

Msaada
 
Ni wale wasio na roho za huruma kwa sababu mtu ameshakuwa kichaa bado unazini nae hadi unampa mimba hiyo ni roho ya kishetani kwa sababu tayari ni mgonjwa bado unamuongezea jambo ambalo mara nyingi ni ngumu kulimudu kwa hali yake.
 
Back
Top Bottom