Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
Sina Nia wala Dhamira ya kupoteza jamii kwa kuhalalisha haramu kuwa halali,na halali kuwa haramu ,Hapana !
Lengo langu ni kuwekana sawa na ikiwezekana kurudishana kwenye mstari,
Na hatuwezi kurudishana kwenye mstari bila kwanza kuanza kuambiana kuwa tumetoka katika mstari,
Napia kujua kwanza kwanini tunatoka katika mstari,
Na nini kifanyike ili turudi kwenye mstari,
Leo Wanaume wengi japo sio wote wamekuwa wakienjoy sana mapenzi kutoka kwa mawara ,kulikoni hata wake zao wandoa ,na wengi wamekuwa wakihudumia nyumba ndogo na kuwanunulia vitu vya thamani kulikoni hata wake zao.
Unakuta mtu yuko radhi mke apande daladala ila si kimada..
Pia mahawara ni rahisi kudumu kuliko wana ndoa .mimi nilishuhudia jamaa wangu wa karibu aliishi na mwanamke miaka kumi ila walipokuja kuowana wakaachana hawakudumu hata miezi sita...
sasa huwa nashindwa elewa kunanini hapa kwenye uhawara na kuna tatizo gani hasa kwenye ndoa ?
maana hata mabint ataonyesha kukutii kwa kila jambo na msikivu kabla ya ndoa ila ukishamuowa tu ,basi ataanza kuonyesha makucha yake.
Hata wanaume nao wamekuwa na maneno matamu na majina mazuri kipindi cha uhawara ila akishakuowa na kukuweka ndani basi majina huanza kubadilika,
Kama alikuwa akikwita sweet na majina mengine mbali mbali au kukusifu una akili ,lakini ukishakuwa ndani kila siku atakutoa akili na kukuita majina ya ajabu ajabu,zikiwemo kejeli na matusi.
Ni wapi tunakosea kama wanadamu,iweje jambo la heri liwe baya kwetu na jambo ambalo ni la kishetani tuwe tunalipenda na kuliabudu?
Ndoa ilotakiwa iwe tamu na uhawara uwe mchungu. ila uhawara umekuwa Asali na ndoa nyingi zimekuwa shubiri..
Wapi tunakosea tujisahihishe?