lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Khali zenu.
Majuzi kati nimekutana na mchizi wangu wa longi wa mataifa bado hamuona Yesu maishani mwake akawa ananipa story kwamba kaja kariakoo kutafuta tendeee. Nikashangaa mtu wa bara na tende wapi na wapi?
Basi anambia naenda kumkomoa mtu yakheeeeeeee, kuna mwanamke nimempa pesa zangu nyingi sanaa nataka nkamkomoe hivoooo. Tobaaaaaaaa! Kukomoana hio vepeeeee! Akasema ooh yule kanizungusha sanaa sasa nataka nikampe show ya kibabeee. Pesa zangu zote zitamtokea puani.
Ndo dozi ya kukomoa ameambiwa apige tende na maziwa fresh. Mmmmmmmh. Kanunua kilo nzimaaa. Mtumeeeeee, shoga aenda kufa kifo cha mende. Kaenda ananiambia napiga dose hapa. Nishamuaga mke wangu nasafiri kikazi maana nataka yule mchepuko aukesheee. Yalaaaaaa!
Basi ananipa mrejeshooo aaaaaaaaaahhhhh KHATAR TUPU . Yaani hajawahi piga show ya kibabe kam ile. 5 Bilaaaa, mpaka bi dada kaomba pooooooh. Kamuomba msamahaaaa. Anadai alijiona ka superman. Anatembeza kichapo tuuuuuu usiku kucha non stop. Mtumeeeee tobaaaa. Anakwambia dada wa watu nyakanyakaaaa kaondoka anapepesuka na hivi alipiga nyagi za kumkomoa mchiziii yaaani cha mtema kuni alikiona. Kuachana dakika 5 nyinhi kala Block kwenye simu kila akimpigia dada anaambiwa huduma zimesitishwa. Ngachokaaaaa.
Anambia kama kuna demu ana njaaa mlete kwangu pesa ninayoooo, na habari show za kibabe mwanzo mwisho. Mie nikasimulia tu ile story saluni mdomo koma ulimi hauna break, kuna mtu akadai adaiwa kodi nimpe pasi ya kisigino nikasema mi nimeokoka sahivi sijiuzi wala siuzi mtu maana huo ubatili mtupuuu. Wakaniuliza anaitwa nani nikataja maana uongo dhambi. Wakaiba namba.
Akamwambia flani kaniambia yani mie huyo kwamba ana show za kibabe na mshiko anatoa yeye yupo tayari hata jioni hio hio kwa mtanange. Akaambiwa tuma picha, akatuma. Coplo akaelewa namba, akamwambia mechi jmosi. Akaja kuniuliza mimi mbona mechi kaiweka mbali hivooo, nikamwambia shoga umejiroga mwenyewe mwenzio anakunywa tende na maziwa wiki nzimaaa, atakumalizaaa. Oooh akila hambakishii baba, anafuja fuja tu. Akasema kumbe siri yake tende, basi yeye anakula haluaaaa tu. Hahaaaaaa.
Mi nikashangaa jmosi usiku Coplo ananitummia smsm za matusi saa7 usiku, nikajua kishanuka, kapoteza mechiiii. Hahaaaaa. Akanipigia analaani mwanamke mshirikina yule hatariiii, kaenda spidi yake ya kawaida ya punda 2G, Ile 4G ya tende na maziwa bila bila. Sio rahisi.
Basi nikamchimba shogaaa u emloga kweli nini, yupo walaaa, nimemuwekea ndimu tu coctail yangu nikamuonjeshaaa. Ndimu mkata shombo kiboko ya tende na maziwa miaka 80000000. Haloooooo. Hajanikomoa na pesa kanigeaaa hii 150 na 100 nilimsachi nikamuibia mjini hapa. We si umeokoka udalali nao dhambiii, sitaki kukupeleka motoni.