Msaada wenu tena nipo njia panda

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
672
habar zenu wakuu
Ni jumapili nyingine tulivu nikiwa nimejilaza ghafla nimeshtuka naanza kumuwazia kijana mmoja ambaye alinitokea kama mwaka mmoja na nusu uliopita ni mfanyakazi katka wizara moja nyeti jirani na ofisini kwetu

kipindi nakutana nae alikuwa na matatizo na mke wake akaniaproch nikamwambia nina mtu.basi tukawa kama marafiki mawasiliano yakaendelea japo haikuwa kivile mara chache akinieleza matatizo na mkewe na bla bla me nikawa namshauri asiachane na mkewe avumilie yatapita.

mwishoni mwa dec.mwaka jana akanitext wametalikiana. nikamwambia its fine ni maisha yenu. ikaishia hapo.

Nikiwa katika wakati huu ambao nimeachana na mwanaume wangu km two weeks ago nilikutana nae sehemu hatukuwa tumepanga tukasalimiana na stor mbili tatu akaniomba tuonane tuongee
( of course nilikuwa bored siku hiyo tukatoka ilikuwa jioni) tukakaa sehem tukaongeaaa the guy anadai ananipenda sana anataka tuwe wote nikamwambia nitamjibu.

Ukweli ni kwamba yuko so lovely,mtanashati educated yani ni mwanaume ambaye kila mwanamke akimuona atatamani kuwa nae mo than my x lakini kitu kimoja tu tukiwasilia
na kwenye simu hana maneno mengi, yan ni salam asubuhi, jioni na usiku mwema

(sijui ndivyo alivyo au ni kutokana na mazingra ya kaz yake au ni nini)Ila tukionana ataongea yote the way ananifil na nini na nini anafunguka.

sijampa jibu lakini nawaza sana huu ukimya wake ntawezana nae, nini kilisababisha waachane na mke ndani ya ndoa ya miezi 6?

kukaa more that 10hrs bila kuwasiliana na mtu nayempenda nitaweza?
Ama nakurupuka?

Matusi Hayatanijenga
kama unao ushauri nisaidie nipo njia panda natamani niwe na mtu kuwa alon kunaumiza sana,
 
Kwa mwanamke hakuna penzi linakuwaga tamu kama lile ambalo linakuja baada ya kumwagana na aliyekuwa naye awali hasa ukutane na mwanaume anayejua nini maana ya mapenzi.

Baada ya muda unazoea unakuta kumbe kawaida
 
Kama unampenda haina haja ya kujiuliza maswali yote hayo.

Ukiweza chunguza sababu ya kuachana na mkewe isije kuwa yeye ndie mwenye matatizo ukajikuta ndani ya ndoa ndoano.

Nature ya kazi yake wewe ndie unaejua na kufahamu ubusy walionao wafanyakazi wa hio wizara nyeti. Majibu mengi unayo wewe mkuu.
 
Jipe nafasi mama usikurupuke maana sisi tuliokurupuka(tulibeba ma X wa watu) tunatamani movie lirudiwe tuchague tena.NB ukichukua x wa mtu lazima ataanza kukufananisha na x wake so be care
Asante kwa ushauri mkuu
 
Kwa Ambaye Hajamuelewa, Tangazo lake ni hilo hapo.....
 
Jipe nafasi mama usikurupuke maana sisi tuliokurupuka(tulibeba ma X wa watu) tunatamani movie lirudiwe tuchague tena.NB ukichukua x wa mtu lazima ataanza kukufananisha na x wake so be care
Umenifanya nicheke
 
Kwa mwanamke hakuna penzi linakuwaga tamu kama lile ambalo linakuja baada ya kumwagana na aliyekuwa naye awali hasa ukutane na mwanaume anayejua nini maana ya mapenzi.

Baada ya muda unazoea unakuta kumbe kawaida
Nahisi kumpenda lakini naogopa sana nisije nikajakuzama yakanitokea kama yaliyotokea..moyo wa mtu kweli kichaka
 
habar zenu wakuu
Ni jumapili nyingine tulivu nikiwa nimejilaza ghafla nimeshtuka naanza kumuwazia kijana mmoja ambaye alinitokea kama mwaka mmoja na nusu uliopita ni mfanyakazi katka wizara moja nyeti jirani na ofisini kwetu

kipindi nakutana nae alikuwa na matatizo na mke wake akaniaproch nikamwambia nina mtu.basi tukawa kama marafiki mawasiliano yakaendelea japo haikuwa kivile mara chache akinieleza matatizo na mkewe na bla bla me nikawa namshauri asiachane na mkewe avumilie yatapita.

mwishoni mwa dec.mwaka jana akanitext wametalikiana. nikamwambia its fine ni maisha yenu. ikaishia hapo.

Nikiwa katika wakati huu ambao nimeachana na mwanaume wangu km two weeks ago nilikutana nae sehemu hatukuwa tumepanga tukasalimiana na stor mbili tatu akaniomba tuonane tuongee
( of course nilikuwa bored siku hiyo tukatoka ilikuwa jioni) tukakaa sehem tukaongeaaa the guy anadai ananipenda sana anataka tuwe wote nikamwambia nitamjibu.

Ukweli ni kwamba yuko so lovely,mtanashati educated yani ni mwanaume ambaye kila mwanamke akimuona atatamani kuwa nae mo than my x lakini kitu kimoja tu tukiwasilia
na kwenye simu hana maneno mengi, yan ni salam asubuhi, jioni na usiku mwema

(sijui ndivyo alivyo au ni kutokana na mazingra ya kaz yake au ni nini)Ila tukionana ataongea yote the way ananifil na nini na nini anafunguka.

sijampa jibu lakini nawaza sana huu ukimya wake ntawezana nae, nini kilisababisha waachane na mke ndani ya ndoa ya miezi 6?

kukaa more that 10hrs bila kuwasiliana na mtu nayempenda nitaweza?
Ama nakurupuka?

Matusi Hayatanijenga
kama unao ushauri nisaidie nipo njia panda natamani niwe na mtu kuwa alon kunaumiza sana,
Mtangulize Mwenyezi Mungu, kama umekubali kuwa nae kubali kwa moyo mmoja siyo kuwa leo unatwambia unampenda baada ya siku chache ukapata tena mwingine ukaja na bla bla nyingi. Wanawake kuwa wavumilivu mapenzi siyo hela, jitahidi kuwa karibu na mwenza wako ili kutatua changamoto za maisha
 
Kama unampenda haina haja ya kujiuliza maswali yote hayo.

Ukiweza chunguza sababu ya kuachana na mkewe isije kuwa yeye ndie mwenye matatizo ukajikuta ndani ya ndoa ndoano.

Nature ya kazi yake wewe ndie unaejua na kufahamu ubusy walionao wafanyakazi wa hio wizara nyeti. Majibu mengi unayo wewe mkuu.
Kuchunguza sababu za kuachana na mkewe yeye alinambia lakini huwezi kujua mpaka usikie na upande wa pili.
 
Mtangulize Mwenyezi Mungu, kama umekubali kuwa nae kubali kwa moyo mmoja siyo kuwa leo unatwambia unampenda baada ya siku chache ukapata tena mwingine ukaja na bla bla nyingi. Wanawake kuwa wavumilivu mapenzi siyo hela, jitahidi kuwa karibu na mwenza wako ili kutatua changamoto za maisha
Asante kwa ushauri
 
habar zenu wakuu
Ni jumapili nyingine tulivu nikiwa nimejilaza ghafla nimeshtuka naanza kumuwazia kijana mmoja ambaye alinitokea kama mwaka mmoja na nusu uliopita ni mfanyakazi katka wizara moja nyeti jirani na ofisini kwetu

kipindi nakutana nae alikuwa na matatizo na mke wake akaniaproch nikamwambia nina mtu.basi tukawa kama marafiki mawasiliano yakaendelea japo haikuwa kivile mara chache akinieleza matatizo na mkewe na bla bla me nikawa namshauri asiachane na mkewe avumilie yatapita.

mwishoni mwa dec.mwaka jana akanitext wametalikiana. nikamwambia its fine ni maisha yenu. ikaishia hapo.

Nikiwa katika wakati huu ambao nimeachana na mwanaume wangu km two weeks ago nilikutana nae sehemu hatukuwa tumepanga tukasalimiana na stor mbili tatu akaniomba tuonane tuongee
( of course nilikuwa bored siku hiyo tukatoka ilikuwa jioni) tukakaa sehem tukaongeaaa the guy anadai ananipenda sana anataka tuwe wote nikamwambia nitamjibu.

Ukweli ni kwamba yuko so lovely,mtanashati educated yani ni mwanaume ambaye kila mwanamke akimuona atatamani kuwa nae mo than my x lakini kitu kimoja tu tukiwasilia
na kwenye simu hana maneno mengi, yan ni salam asubuhi, jioni na usiku mwema

(sijui ndivyo alivyo au ni kutokana na mazingra ya kaz yake au ni nini)Ila tukionana ataongea yote the way ananifil na nini na nini anafunguka.

sijampa jibu lakini nawaza sana huu ukimya wake ntawezana nae, nini kilisababisha waachane na mke ndani ya ndoa ya miezi 6?

kukaa more that 10hrs bila kuwasiliana na mtu nayempenda nitaweza?
Ama nakurupuka?

Matusi Hayatanijenga unao ushauri nisaidie nipo njia panda natamani niwe na mtu kuwa alon kunaumiza sana,
Naona kama umetoa na majibu ya baadhi ya maswali yako. NItoe ushauri pale ambapo hujajibu tafuta muda akuelezea sababu ya kuachana na mke wake na wewe ufanye tafiti juu ya majibu yake. Umenitisha unavyosema anajibu kwa mkato/ au hana maneo mengi, nahisi hiyo ndiyo sababu ya mpasuko wa ndoa yake
 
Chekecha akili mamito wala usiwe na presha. Pili kama wakati wa kuonana mnaongea vya kutosha usiwe na wasi wasi mawasiliano ya simu yakiwa machache,bora huyo kakuonyesha mapema tabia hio,wapo wengine wanaificha tabia hio mpaka wakunase ndio tabia inajitokeza.
Kuchunguza sababu za kuachana na mkewe yeye alinambia lakini huwezi kujua mpaka usikie na upande wa pili.
 
Huyo mtu unampenda? Ama ndio unatamani kuwa naye sababu he's lovely&mtanashati?

Ila mi nakushauri kama utaweza kujitahidi jitahidi tu kuwa alone hawa divorced wa kibongo bongo utajitafutia matatizo mengine makubwa tu

Naamini soon utapata ambaye hajawahi kuoa

Pambana
 
Naona kama umetoa na majibu ya baadhi ya maswali yako. NItoe ushauri pale ambapo hujajibu tafuta muda akuelezea sababu ya kuachana na mke wake na wewe ufanye tafiti juu ya majibu yake. Umenitisha unavyosema anajibu kwa mkato/ au hana maneo mengi, nahisi hiyo ndiyo sababu ya mpasuko wa ndoa yake
Hiyo ya maneno mengi sioni ni tatizo b'se hata mimi mwenyewe sina maneno mengi ya kuongea.
 
Back
Top Bottom