Benfamous
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 484
- 375
Salam wakuu leo nimekuja kuomba ushauri.
Kuna dem nimempenda sana lakini kwao wana pesa sana nimeanza mazoea nae kupitia WhatsApp na tunachat vizuri tu ila bado hatujawai kuonana ana kwa ana nataka nimwambie kwamba nampenda but nahofia anaweza nikataa kwasababu mimi natokea maisha ya kawaida sana sina hela kivile so hapa najiuliza nimwambie ili tu hata kama akikataa niwe nimeshamwambia coz nampenda kiukweli au niachane nae kwa kuhofia kibuti cha mtoto wa maisha bora.
Ushauri plz wakuu