SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 910
- 741
Habari ndugu wanaJF..leo nataka niwaletee mrejesho part2...kama mnakumbuka thread yangu ya kwanza basi na hii mtaelewa muendelezo...
BASI TUZAME NDANI..
Juzi kati hapa binti alinisumbua kutaka nimwambie kile nilichomuhaidi basi nikapanga siku nikamtoa out kwa ajiri ya lunch ya mchana...ile tumeenda kwenye mgahawa fulani kwa bahati mbaya au nzuri tukamkuta mshikaji aliyeniwahi kwa binti yule kwa wale wa thread yangu ya kwanza watakuwa wananielewa...basi tumeingia ndani binti kamuona yule mshikaji pale basi binti akaanza kubabaika hatulii kijasho chembamba kinamtoka..akazuga amepigiwa simu ya dharura..basi bwana binti huyo akanambia samahani nimepigiwa simu ya dharura kuna shida imetoke kabla sijajibu chochote akainuka ghafla akaondoka...
SASA NDUGU NAWAULIZA TENA..
Nilitaka nimfungukie ila ndo ivo kilichotekea kwasasa.
JE KWA KITENDO ALICHOFANYA JE INAONYESHA ANAMPENDA JAMAA HUYO?..au ni aibu imempata baada ya mshikaji kutuona niko nae?
MAONI YENU...