Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana wa miaka 23 huwa naskia maumivu wakati wa kukojoa Na pia huwa natokwa Na Usaa sehemu za siri naombeni ushauri unitumie dawa gani ili nipone
0 Reactions
12 Replies
1K Views
1. Dar es salaam 2.Mwanza 3. Morogoro 4.Mtwara 5. Tanga
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Poleni na majukumu ya kulea watoto Miye naomba kujua kutoka kwenu wadada mliozaa hivi jambo gani ambalo huwa mnaitaji zaidi kutoka kwa baba wa mtoto ambaye umezaa naye haijalishi unaishi naye has...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu...wanaJf Hivi nikimwambia kuwa nampenda atanichukuliaje? Mrejesho Part2: Nikimwambia nampenda atanichukuliaje? Leo nimeamua niwaleteeni mrejesho wa tatu... Kama mnakumbuka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
1. Anakuwa mwenye hasira. 2. Papara za kimaamuzi. 3. Anafikiria kuwa anafanya hisani hata kwa majukumu yake. 4. Kupokea ushauri kwake huona kama kujidharirisha. 5. Anapenda kusifiwa hata kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za jioni wana JamiiForums. Leo nawiwa kuongea na wanawake wenzangu juu ya hili suala la vitambi vyetu na vya waume zetu. Nilikuwa nimekaa napiga story na mume wangu mara akanikumbusha...
22 Reactions
226 Replies
12K Views
Habari wakuu Tukumbushane kidogo vijimbinu tulivotumia kupata wapenzi tulio nao,ikibidi na sehemu uliyomuona siku ya kwanza. Mimi wa kwangu nili.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] A level
1 Reactions
89 Replies
7K Views
Ni siku kadhaa zimepita tangia nikutane na msichana huyo. Cha ajabu sikumpa namba yangu ila aliomba kwa mshikaji wangu akapewa na demu akaanza kunitafuta na kuanza kuniita mpenzi, nilishangaa...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Ni Rahisi zaidi kumjua Mwanaume aliyefall in Love na mwili wako na sio moyo wako kuliko kumtambua MZee wa Kichaga kwa pozi lake la kutembea, suruali zake za kushonesha, miguu myembamba na gari...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Chagua Mwanaume sahihi kwa nafasi sahih lasivyo utabaki unashangaa kwann haupati jawabu japo ushawachagua weng!..Mschana1 hata akitembee na wanaume4 hawez pata mimba ya wanaume4 lakin mwanaume1...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Naitwa obed Frederick, nahitaji msichana alie tayari kuwa na mimi hatimae tuweze kupanga maisha mimi ni mwajiriwa serikalini vigezo kwa mwanamke awe anapenda ibada awe mwalimu au nurse. If...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mdada 26 yrs Masters holder Tall 179 cm 73 kg currently Mweupe wa kawaida Mwajiriwa Christian Beautiful with brain Mwanaume awe From degree kuendelea Mrefu kama mimi Awe...
5 Reactions
140 Replies
10K Views
Bhandugu Yaani hizi haki Za mjamzito zimenichekesha Mno....... HAKI 7 ZA MAMA MJAMZITO. 1. Mama mjamzito ana haki ya kupishwa akae, hata kama amechelewa kufika eneo la tukio, na nyie wengine...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu kweli Uswahili kuna vitukooo...,Yaani ni bandika bandua. Leo nilikuwa kwenye jopo la kusuruhisha mgogoro wa jamaa kutaka kupigwa mapanga kwa kudhaniwa tu ni mpiga chabo. Huyu jamaa ni...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau nilikua natoka na demu ambaye ni mke wa jamaa mmoja hivi katika kuchat chat demu kashtukiwa na bwanaake. visa vikaanza ugomvi wa mke na mume ukapamba Moto , nikamwambia huyo mwanamke...
1 Reactions
95 Replies
8K Views
*Jinsi ya kupata mpenzi bora* *1_ lazima na wewe uwe bora kwanza* *2_ lazima na wewe ujiheshimu* *3_ kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako!* *4_ ukitaka msomi akikisha na...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna story behind this but kama wanavyotupa sisi ela na kutuhonga muda mwingine vitu mbalimbali wewe kama wewe mpenzi wako kaja kwako muda wa kuondoka ukampa hela just ya nauli au vyovyote but hey...
5 Reactions
258 Replies
28K Views
Men have always had mistresses! Historically, mistresses were kept by men of power and influence, like kings and rich merchants. This 'tradition' has continued to date and the men are known to...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Haina ubishi money cant buy you happiness but it surely as hell it can guarantee you protection against some forms of unhappiness...
22 Reactions
236 Replies
18K Views
Ninaishi na binti mmoja ambaye imani zetu ni tofauti, yaan yeye ni muisilam na mimi ni mkristo. Tumeishi sasa yapasa miaka 3 na tumebahatika kupata mtoto mmoja. Tulikua tumepanga chumba kimoja na...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…