Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,556
Haya nimerudi tena naombeni mawazo yenu,
Hapo zamani za kale, nilipataga bwana, alikuwa mtu mzima, alinipita miaka 13. Katika mahaba kolea na maongezi ya Honey Moon (Stage ya mwanzo ya mahusiano) na kufahamiana, yule bwana akaniuliza,
Bwana: baby una marafiki wa kike?!
Money Penny: Mh, hapana sina,
Bwana: sasa rafkiako wa kike ni nani?!
Money Penny: Mama yangu tu na dada zangu 2, waliobaki ni wa kiume tu, sinaga rafiki wa kike
Bwana: du! Basi wewe utakuwa mkorofi, marafiki wa kiume tuu!
Money Penny: nikashangaa kisela! Nikameza maneno yake, nikampoa ktk iyo sekta
Baadae nikawa najiuliza kwani kuwa na marafiki na watoto wa kiume ina maana unakuwa mkorofi?!
Huyu bwana alikuwa anajaribu kuniambia nini labda?!
Au aliogopa nitakuwa mjanja sana akiniweka ndani na kuhofia kuwa najua panya road za kiume na chobingo zote atashindwa kunidhibiti?
Msaada wenu wana familia JF!
Maana nimeletewa kesi kama hii na wakina dada
Ps:
Mimi sikiwaga Tom Girl jamaaa!
Sasa wanaume hamtaki tuwe na marafiki wa kiume? Kiru!