Mlete nitamlea usitoe mimba yangu

if not now

Senior Member
Mar 4, 2017
186
171
Heading ni kiitikio cha mwimbo bora kabisa kwa upande wangu, wimbo ni wa sauti sol (majirani zetu) kenya... Video hii naomba iwe hata fundisho kwa wakina dada wenye tabia za kuchoropoa mimba na wale wazee wakukana mimba
 
Attachments

  • VID-20170321-WA0000.mp4
    713.2 KB · Views: 25
Asante mkuu!!!

"Say No To Abortion!!!"
Lakini nchi yetu inasapoti uzazi wa mpango. Uzazi wa mpango unatia ndani na kulegalize abortion.

Vidonge vya kufanyia abortion vipo over the counter kwa 20000, vya kucounter mimba iliyoingia ndani ya siku tatu vipo kwa 5000.
 
Tuje kwenye hali halisi.

Upo form four umempa mimba form four mwenzio utailea?

Au umempa mimba binti huku mipango ya maisha imekupa mgongo, utailea?

Au umempa mimba mwanamke zombie hadi unajiuliza ilikuwaje ukaegeshana naye, utailea?

Kama jibu ni ndiyo utailea, wewe ni mnafiki.
 
hAPA NDIO MATATIZO YETU WANAUME.. HATA MAZOMBIE TUNALALA NAO... LIKIJA SWALA LA MIMBA NDIO UTASIKIA SIJUI ILIKUAJE HADI NIKAWA NAE. PLAY SAFE.
 
Tuje kwenye hali halisi.

Upo form four umempa mimba form four mwenzio utailea?

Au umempa mimba binti huku mipango ya maisha imekupa mgongo, utailea?

Au umempa mimba mwanamke zombie hadi unajiuliza ilikuwaje ukaegeshana naye, utailea?

Kama jibu ni ndiyo utailea, wewe ni mnafiki.
Mkuu sasa wakati unakuwa nae hukujua kama ni zombie au ni mwanafunzi?
 
Jf kila mtu decent

Hopefully hata wanaochangia na mleta thread wako real katika hili

Mungu anisaidie kwa kweli nisipate kama sijapanga
mkuu hiki kitu nimeshuhudi my blood sister alifanya hiki kitu na leo navyoongea hatunae tena... Soo huwa namchukia sana mwanamke anaetoa mimba
 
Tuje kwenye hali halisi.

Upo form four umempa mimba form four mwenzio utailea?

Au umempa mimba binti huku mipango ya maisha imekupa mgongo, utailea?

Au umempa mimba mwanamke zombie hadi unajiuliza ilikuwaje ukaegeshana naye,
Kama jibu ni ndiyo utailea, wewe ni mnafiki.
SWALI
kwanini usitumie kondomu.. Hii ndo tunaita uzembe kazini
 
Ni kweli hili ni swali la msingi sana.

Lakini naamini % ndogo sana ya watu ndiyo wanajua jinsi gani ya kuvaa kondomu, utakuta mtu anaivaa nje ndani inakua haifiki mwisho anakuja kusema kondomu mimi hazinitoshi, kumbe siyo kweli hajajua namna ya kuvaa.

Hao wanawake zetu ni wachache mno wanajua jinsi ya kutumia pia, unaweza kumwambia nivalishe kondomu ukabaki unashangaa atakavyoitanua kama mfuko wa rambo.

Jamii zetu zinaihitaji hii elimu kwa upana wake wote.
 
Hapo umenena mkuu

Back
Top Bottom