Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,554
Wangapi wanaendaga Mziki, Disco na Waume Zao au Boyfriends au Michepuko yao?
kila mwezi naendaga mziki na ma shosti, shouger, dadaz grup la watu 4, kama sio Hyatt Regency basi Elements au High Spirit au Samaki Samaki Oysterbay. Inanoga vbayaa mnoo, mnacheeeza, mnacheeeka, mnakuunywaa, familia zetu na watoto wapo na baba zao, Baby sitting vepee!
Cha kushangaza ukifika Disco au Mziki unakutana na couples ( Mke na Mume) au mume na mchepuko au mke na mchepuko
Wanayarudi majoka vbaya mno, kama vijana waliopo kwenye uchumba, mpaka saa 8 usiku au 10 wanaondoka.Mwanzoni nilishangaa sana, nilipozoea, nikaona kawaida tu
Siku moja mke mwenzangu akanipigia simu,
Mke mwenzangu: Mami mambo, na salamu kibao, jaman nakualika na shem mje mziki, kwa mwezi mara 2 au 1, msikae tu ndani mtazeeka, maisha yenyewe haya mafupi mnatakiwa mu-enjoy sasa kabla hamja expire
Money Penny: Poa my and the likes, asante sana, ila mziki si wa vijana ma bachela?! Na wenye ndoa nao wanavamia fani?! (Nauliza huku namng'ong'a ila haoni )
Mke Mwenza: ndio, skuhizi mziki ni ndoa mpya, mambo ya kisasa, tunaenda na wakati, ndoa bwana unatakiwa uitengeneze wewe mwanamke vile mnapenda muishi na mwenzio, zile za kizee tupa kule afu uzee mwisho msata Dar wote ma Baby, jichanganyeni.
Money Penny: Sawa my, ngoja nimpange shem wako nitakutonya siku ya kwenda. Nikabaki najiuliza ivi skuhizi muziki ndio ndoa mpya au mziki umeingiliwa na ndoa?
Msaada plz!