saidjamali
Member
- Dec 3, 2016
- 66
- 22
Kwanza poleni na majukumu,
Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.
Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.
Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.