Msaada tuta kubwa: Mapenzi ya kutafsiri

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,280
16,556
Unajua Darassa hakukosea alipoimba vitu vingine havihitaji ujuaji, unaweza tandikia watu jamvi!

Basi jana nimetoka zangu nipo HIGH SPIRIT nakula zangu good time buzy na JF, FB, Insta na Snapchat, pekeyangu nimekaa kwenye kochi napata vyangu vilaini na mziki wa mbaali

Akaja Mreno na Mtz, hawa walikuwa wapenzi!
Mtz hajui kizungu, mreno hajui kiswahili hapo chacha! Hata
Sijui walitokaje huko mpaka kufika pale, nilipokaa kukawa na seat ya ziada kama watu 3, wakaomba wakae nikawaruhusu
Basi wakamwita waiter awatafsirie watampa dola 20
Mreno: Baby you know i love you so much
Mtz: love you too baby ( nadhani hiki tu ndo alikuwa anakijua)
Mreno: so after this dinner we go back to the hotel
Waiter: baada ya dina tunarudi hotelini
Mtz: ok baby
Mreno: tonight am gonna teach you a very romantic style in bed
Waiter: leo ataenda kukufundisha staili mpya ya kimahaba kitandani
Mtz: ok baby
Me nawaangalia tu jinsi gan english inachakachuliwa kimtindo!

Mreno: but tommorrow morning i will have to fly back to Philipine my mom is sick!
Waiter: kesho asbh anaenda kumrusha mama yake huko filipine
Mtz: he?! why baby?!

Hapa hata na mimi nilishtuka jaman, nikaona kama muujiza!

Mreno: my mom is sick, anamwonyesha mpaka na vitendo mtz haelewi anamwona kama gaidi

Waiter: si unaona anakuonyesha jinsi gani atakavyoenda kumrusha mama yake
Me nilicheeeka kwanguvu wakaniangalia, nikajifanya nipo buzy na simu

Mreno: akamshika mkono mtz anataka ampeti peti, hapo mtz keshavimba, dont worry baby will come back for you with my mom, and we get married

Waiter: usijali mpenz nikimaliza kumrusha mama nakuja nae nikiwa nimembeba maiti tunakuja kufunga ndoa mbele yake

Mtz: heee! We baba vepee, we ni mkichaa au free mason au unakula bangi?! kwa nguvu hapo anaongea si unajua watz tena kwa drama?!

Waiter: she says ur crazy

Mreno: ha?! Why?! What did i do?!

Mtz: akamzaba kibao, kachukua na wine kamwagia muuaji mkubwaa wewe watz wakaanza kusogea, demu kavimba me nikaamua kusogea kando maana me nilishaona ile kesi ya polisi tayari
Wakagombana pale waiter akamchukua Mtz akamtoa pale mreno wa watu akabakia ameduwaa kwenye kochi, anajifuta uso na handkerchief, ni sheeedah!

Jamani haya mapenzi ya kutafsiriana vepee?!
Sasa na hii elimu bure inayotolewa baada ya miaka 20 mbele si kutakuwa na show za kutosha wajameni?!

Nyie mnasemaje kuhusu mapenzi ya kutafsiriana?! Ishawahi kukutokeaga ktk maisha yako wewe mwana JF?!

Back
Top Bottom