kiboksi manyoya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 377
- 311
Katika hali ya kawaida kimaumbile mwanamke ameumbwa na urembo wa asili, ukikuta mwanamke ambaye hajatumia aina yeyote urembo wa mchina anapendeza, anavutia na hata harufu yake ni ya asili, anavutia hasa,
Ila hawa wanawake unakuta sura ishakula mkorogo, nywele za marehemu, kope za shetani, kucha za jini, lips utafikiri zombie, makalio mchina, kiuno amekibinua utafikiri mcheza pool table, miguu imeoshwa na maji ya betri yaani mwili wote kaazima kwa mchina, halafu mnalalamika wanaume hawawaridhishi, Mungu ameshindwa kuwaridhisha, wanaume tutaweza kweli?