Dereva Suka
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 176
- 289
Naipenda sana hii nyimbo....Ni nyimbo gani ww unaipenda ambayo ukiisikiliza hasa mida tulivu ya usiku inakupa hisia nzito.
Nitumie na mimkijito cha utakaso
Nitumie na mim
hii kali aisee"Panda" by Designer
Haswaa by Shayne ward,tamu sn hii.Breathless
Yeah ni nzuri, mimi nilipewa na mtu humu....such a beautiful songHaswaa by Shayne ward,tamu sn hii.
Ninayo hapa kwa phone.
Hata if you come back ya blue .Niliipenda tangu 2007
Mie naipenda "shamba" by country boy ni copy ya panda ila kiswahili ni balaa aisee."Panda" by Designer