Nampenda mpenzi wangu ila ugumu wa maisha una hatarisha penzi langu

Mkuu wangu usiogope kabisa kama amekupenda hivyo ukiwa na maisha magumu unaweza kumaintain na akakuheshimu na kukupenda, kikubwa onyesha juhudi katika kutafuta kazi (kama huna) fanya kazi kwa bidii, ukiwa muoga kama jina lako kuna siku utaamka na kuimba Chege ft diamond, waaaache...........
 
Ukiona mtu anasema maneno aya jua kuna dalili teyari kashaziona..nakushauri ondoa mawazo kabsa na uyoo mwanamke,peleka akili kwnye kutafta pesa kwanza..kam wako ni wako tu
 
Kuna MTU mmoja aliandika humu kipindi fulani kuwa Avatari ya mtu hujulisha alivyo.... We umejiita askari muoga na leo umedhihirisha
 
unatakiwa ushukuru mkuu kwa kuwa umemuweka kwenye mtihani mpenzi wako bila yeye kujua... hapo ndo utajua ndoa itatangazwa au nimepotea njia...!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom