Naitwa Juma Pombe Maharage kwa nipo Kagera kikazi kuna jambo moja linanisumbua sana naombeni ushauri wenu nimekuwa kwenye mahusiano ya kipenzi sasa zaidi ya miaka saba lakini jambo limenishangaza...
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati...
Wadau naomba tujadili kidogo hili suala la Uchepukaji uliokithiri Kwa sasa na kutishia uvunjifu wa ndoa nyingi Na mahusiano pia ugonjwa hatari wa Ukimwi.Chambo kikubwa cha uchepukaji ni pamoja Na...
Habarini za asubuhi wandugu,
Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.
Mwanaume ninayemtaka awe na age at least...
Tena huu ni ujinga usiokuwa na kikomo Pale mkeo anapokwambia kuwa wewe ni mtamu na unajuwa kumpiga miti na hatokuja kutoka nje hata siku moja
Wakati unajuwa kuwa ana michepuko zaidi ya watano na...
Ukiona msichana anakuomba hela kila akutafutapo jua hakupendi. Nani asiejua wanawake wakipenda mtu huweza ata kumpa pesa. Au nani asiejua wanawake huwa na mtu ili wamlambe pesa. Mwanamke akimpenda...
Sexes split over one night stands
BBC News Online
Men and women view one night stands differently
Many women are left unhappy in the aftermath of casual sexual encounters, a survey has...
Toka mpenzi wangu asimamishwe kazi ni mtu mwenye mawazo ila huwa namfariji, tatizo linakuja ninampomsaidia huwa nampa elfu 5 kama mahitaji kwa siku sasa jana nilimpa 1500 aende kula chakula cha...
Nipo job now and am anxious, Sio kawaida ya best wangu kutonitumia hata salam, Namuona online whatsap namtumia meseji na ninaona tiki ni za blue ila ndo sijui kauchuna.
Nimefikiria sana nini...
Hello wanajamvi,
Ki ukweli nimetokea kumpenda binti mmoja sana kutoka moyoni mwangu yaani nashindwa hata kuelezea siku nilipanga nikutane nae sikufanikiwa ila namba zake nilizipata nimejitosa...
Aje aje wakuu
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Nina demu wangu lakini nina mashaka na tabia zake na mazingira ya kwao. Huyu demu ana kama wiki ananiambia anaumwa tena Hoi kabisa.
Jana...
habari! ni mgeni huku jf! nipokeeni..
nna mchumba angu niko nae takriban 4yrs sasa! tunatarajia kufunga ndoa soon...hv karibuni ameanzisha kamchemzo flani hivi tunapokuwa faragha! anahitaji nimtie...
Jana nilienda wadutya mida ya saa 5 usiku ,
Muda wa saa 7:30 usiku kuna mmama alionekana amepandisha mashetani huku akigala gala,
Wakati huo akiwa anaacha mapaja yote wazi na kubaki na chupi tuu...
habari wadau nikiangalia jinsi drama za familia nyingi naona kabisa waarabu wana akili sana kuoawana wenyewe kwa wenyewe ili utajiri usipotee maana wanawake wabinafsi sana..
pesa zaweza kuwa zako...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake wanaotamami ndoa sana na wengine kuja kutafuta waume mitandaoni wakidai ME vigezo lukuki. Bila kujua ndoa sio jambo la kukurupuka tu, ni uamuzi mgumu na...
Habari za wakati huu wanajamvi!
Ebwana leo nimekutana na changamoto ambayo sikuwahi kutegemea kuwa huyu mama mtu mzima umri wa kustaafu anaweza kuwa hivi;
Ebwana ktk shuhuli zangu hapa town huwa...
Mimi na Ex wangu tuliachana kwa amani baada ya yeye kucheat akazama huko huko na hatimaye akaolewa(ingawa hana furaha na ndoa yake anatamani tuendelee, nikajikaza kiume nikamkanya akapunguza...
Wakuu,
Napenda kuwashukuru wana JF,
Wote kwa michango yenu, hakika imekuwa msaada kwangu. Hivi karibuni nilileta bandiko hapa nikiuliza kama mimi nilishawahi kufika kileleni;
Hivi inawezekana...
HABARI WANA JF NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUTAFUTA MKE WA KUO.
JINA:Erickson
UMRI: Miaka 31,
KABILA: mkonongo,
DINI: Mkristu,
NCHI NAYOISHI:Tanzania,
UREFU : FT5.6,
RANGI : Mweusi,
ELIMU: Chuo...