Nipe namna nzuri ya kuitikia mitongozo

Cleopatra 2

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
210
306
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.

Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.

Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
 
Wakuu hbrn za kazi.

Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wamitego.

Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men.

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.

Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anae nitongoza huwa nahisi amekosea.

Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.

Wenzako wakitongozwa huwa wanaitikia hivi "NIANGUSAGE TU U MWENSIO...ISAMBI SOTE NI SA KWAKO".
 
Back
Top Bottom