PRODA LTD
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,005
- 1,333
Naitwa Juma Pombe Maharage kwa nipo Kagera kikazi kuna jambo moja linanisumbua sana naombeni ushauri wenu nimekuwa kwenye mahusiano ya kipenzi sasa zaidi ya miaka saba lakini jambo limenishangaza ni kwamba kila mwanamke ambaye nalala naye na kufanya naye mapenzi baada ya muda mfupi wananiambia wana mimba. ..!
Ni vigumu sana kuwaamini wanawake lakini nikiwa kikazi Kagera kuna mwanamke nilifanya naye mapenzi baada ya wiki ameanza kutapika muda huu hospitali kumcheki daktari anasema ni mjamzito nimechoka akili naombeni ushauri wenu nifanyaje? ??