Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau naomba tujadili kidogo hili suala la Uchepukaji uliokithiri Kwa sasa na kutishia uvunjifu wa ndoa nyingi Na mahusiano pia ugonjwa hatari wa Ukimwi.Chambo kikubwa cha uchepukaji ni pamoja Na utoaji wa lifti Kwa wenye Magari.Wake za watu wamekuwa waathirika wakubwa wa hizo Lifti.Mjadala ulenge kuona kama wengi wanaotoa lifti wana nia mbaya?
Wake za watu wasijirahisi Kwa ajili ya kupewa lifti.Wachangiaji karibuni.
Wake za watu wasijirahisi Kwa ajili ya kupewa lifti.Wachangiaji karibuni.