Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Nawasilisha kilio changu jamani haiwezekani demu nimtongoze ananikubalia anakuja ghetto namkojoza vya kutosha lakini mwisho wa siku ananiacha eti mi maskini Sina hela
Sasa nasema hivi poa mi dume kaptura
Hapa nilipo naenda msumbiji kwenye machimbo ya Rubi najua kule ntarudi na Mali na kuwa boss
Sasa nyie wadada mnaoninyanyapaa leo kisa Sina hela nasema hivi nikirudi mtapata shida si mnaona mko huru kuninyanyasa na kuwafuata wenye fedha ,mtajuta.
Nalia Mimi jamanii naliaa oooh!!!