Nilipomwambia nampenda alinikataa lakini sasa anamtuma rafiki yangu kuniambia ananipenda

fund xaa

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
253
90
habarini wakuu?

mimi ni kijana wa kiume kuna msichana yupo hapa mtaani ni mzuri kiasi nishawahi kumtokea au kumtongoza akaniambia ana mtu basi urafiki wa kawaida ukaendelea lakini cha kushangaza anamtuma rafiki angu aje aniambie i love you na nikimtext anijibu naombeni ushauri nifanyaje?
 
Hapo umeshindwa wewe tu, hujaweka juhudi zinazotakiwa, aliku dengulia mwanzo ili usimuone mrahisi ila anakukubali
 
Back
Top Bottom