Namna ya kukwepa fumanizi, soma hapa

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Salam nyote.

Kwa kuwa sisi sote n wadhambi na kama kuna laana fulani ya kutembea na mke /mme wa mtu, soma hapa vzr ili kukwepa fumanizi ndugu yangu.

Note: Mke wa mtu n sumu, mme wa mtu ni maziwa.

Twende kazi.

*DONDOO ZA KUKWEPA FUMANIZI*
1. Usipokee simu ukiwa na mchepuko/mke wa mtu (unaweza kuwa unafuatiliwa) kupitia mnara wa karibu wva kampuni ya simu husika.2. Usitumie gari yako inayofahamika (Chukua Taxi/UBER/Bajaj/Boda boda) 3.Usiandikishe jina lako sahihi (Tafuta jina bandia MOHAMMED KWIGIZILE) 4. Funga chumba na funguo kwa ndani+Komeo+ziba kitundu kile cha funguo kwa nguo. 5.Mkimaliza, msitoke wote kwa pamoja, tangulia mwanaume, kuangalia usalama, baada ya dakika 15 ukiona salama ndipo umruhusu mchepuko nae atoke wakati huo umeshamtengenezea mazingira ya usafiri wa kumrudisha hom.

Shime Shime Wanaume Tuendelee kuchepuka jamani..
 
Ch

Kuna wengine wameweka password kwenye mbunye za wake zao, hawategemei simu!
 
Tabu kubwa wanawake huwa hawachepuki bila kumwambia mtu mwingine anapokwenda, so hapo unaona itakuwaje akisemewa?

Pia za arobaini zikifika hufika tu, labda ujijue huko mbali na mwenza kabisaaaa ambapo hamjulikani.
 
Namba 6.Jiandae kuliwa tigo au kutembezwa uchi barabarani ukikutwa na mke wa mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom