Tuhamie halotel

Harmo junior

New Member
Mar 18, 2017
3
0
Ndugu zangu watanzania nawaomba tuhamie halotel maana Tigo wanaleta mambo ya ajabu cheki vitu
8f5c39167ec7c2230e1821dea39e2169.jpg
 
Welcome mgeni hili jukwaa linaitwa MMU, ya halotel hayahusiki humu

Pili sio kila mtu anamiliki simu sababu ya mb,kuna mawasiliano muhimu yanayotumia dakika,sms

Wewe hamia kimya kimya sio lazima kuja kusumbua server za jf.

watu wote wakihamia halotel nao watakua jeuri wa kushusha data na kasi yao ya network itakua mwendo wa kobe
 
Hv airtel bundle za watoto wa chuo zimekaaje... Juz kat walikua somwea wanapromot lkn nlikua bze sana sikuweza kuskia
 
Nilijaribu kuweka kwenye simu line yao..hadi leo sijaitoa..ile ya voda niliyotoa sijui hata nimeiweka wapi..Jamaa wako vizuri kiukweli
 
Bora bakini huko huko tiGO huku halotel walivyo anza mpaka walipofikia sasa ni tofauti kabisaa wanakera aisee
 
8e1f60a26c32f2a0afea67047e50a244.jpg

Hawa jamaa hata miye nilijaribu line yao nikitoka Airtel na sijarudi tena kule. Yani ile line ya mwanachuo kifurushi cha 10,000 mwezi mzima kwisha kazi. Dk80 mitandao yote, dk1200 halotel lines na gb 10
 
Back
Top Bottom