Ukweli Kuhusu mapenzi/ Tendo la Ndoa

Ukweli Kuhusu mapenzi/ Tendo la Ndoa

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
712
Reaction score
332
Salam wanajamvi,

Utamu ni utamu tuu, hata uende wapi utabaki kuwa utamu tuu...

Ukweli ni kwamba mapenzi ni chanzo cha furaha duniani, na mapenzi maridhawa huondoa msongo wa mawazo na huchangia ufanisi katika utendaji.... yaani psycho-motor inafanya kazi vyema....

Sasa ukweli ni huu, kama unajua mapenzi, utaendelea kuyajua tuu, kama hujui utaendelea kuyasikia tuu... Matokeo yake ni furaha au hasira......

Hivyo jali hisia zako ili kujipa tabasamu na furaha.... usiumie na asiyeyaweza.... Chukua tahadhari.... Ngono huria inaua......
 
Siku hizi hadi kwenye PULI kuna mapenzi na utamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom