Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,111
Dunia ni mzunguko, ipo siku itakugusa tu...Sasa imefikia mrembo huyu alokuwa anajiam,ini wakati wake..
Ulipo kuwa chuo ulikuwa unatembea na mume wa mtu, Leo umeolewa hutaki mumeo achape wasichana wa chuo...
kwani hujui kuwa mapenzi ni msumeno, Vumilia na wenzio wale bata, chipsi na vipaja !!!