Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Moja kati ya vitu vinavyowateka hawa dada zetu ni usafi pamoja na kujiheshimu, Hivi vitu ni kama kidole na pete yani vyote vinaenda sambamba. Awali nlikwishaletaga maada hapa kwamba kitaani...
8 Reactions
50 Replies
10K Views
Habari za kutwa wanajamvi. Nianze kwenda kwenye mada husika, kwa kipindi cha mwezi mmoja kumekuwepo na wimbi/kampeni/shuhuda wa watu waliokuwa wameadhirika na punyeto na thread zao zimekuwa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Unakuta umekiweka sawa kishtobe kimekuelewa ile mbaya, then kinakuja kukutwanga swali hili" UMEOA" hapo ndo unajikuta unamkataa mke mchana kweupeee!!! Maana ukimwambia umeoa tu anaota mbawa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Leo nimepata kumtania wife mtarajiwa kwa mfano kama tungekuwa na ratiba ya kuSex angependa iweje? Majibu yake yalikuwa kama yafuatayo. Jumatatu - No Jumanne - No Jumatano - Yes/No Alhamisi -...
1 Reactions
80 Replies
13K Views
USHAURI WANGU KWAKO WEWE MWANAMKE. 1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima. 2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kusema,hakuna jambo lenye kuumiza maishani kama kukataliwa ,kwa mwanadamu yeyote hujihisi na mapungufu tele iwe mwanaume /mwanamke ,hili jambo ni jambo lenye kuumiza sana ...
10 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari zenu! Kama kichwa cha habari kisemavyo, wanawake wengi wajawazito wana uvaaji wao wa kanga, jui ya maziwa na sio kiunoni! Ni swali la kidadisi tu!
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni..
1 Reactions
126 Replies
12K Views
Hello,sijui ni kaugonjwa au vipi but nikimwona doctor au nurse wa kiume akili inahama kabisa yan nawapenda hao watu kuliko kawaida!
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , inafaa kwa mtu kumueleza rafikiye kwamba unahitaji kuoa dada yake? Karibu sana , (Kiukweli ), Seriously Jocking Is Not Allowed...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Dharau huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza mapenzi kama sio kuyamaliza kabisa. Unapokuwa kwenye uhusiano jitahidi kumpenda mtu wako kwa hali yoyote na usiwe na dharau kwake au hata kwa marafiki...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wana MMU, Nimewamiss! nimekuwa buzy na kuandika story ila watu hawaishi kuniletea zao! Shogangu: Money Penny buana nimekamatika vbaya mnoo au sijui nimekamatwa au nimejikamatisha...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
  • Closed
Katika chunguza chunguza yangu nimekuja kugundua kuwa wadada wa kiislamu wanaheshimu zaid ndoa yao kuliko ambavyo wadada wa kikristo hufanya katika ndoa zao. Ifahamike kuwa uchunguzi huu ni wa...
15 Reactions
169 Replies
18K Views
Hili ni jambo la kimaumbile hasa kwa mtoto wa kiume, kutongoza . pia kukataliwa ni Sunnah toka kwa mababu na mababu , kwa hiyo usione ajabu, Sio wa kwanza kukataliwa , Hata babu zetu uko nyuma...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Nipo Tanga ni mfanyakazi.natafuta rafiki wa kike baadae aje kuwa mke . Umri wangu ni 35 Dini mkristo Sifa za ninaye mtaka. Mweusi Mrefu kiasi Awe mchapakazi na mbunifu hata kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi wasichana wa siku hizi wanapotongozwa bado wanang'oa nyasi au kukata majani na kuchimba ardhi kwa miguu?
2 Reactions
86 Replies
7K Views
Vipi mbona sipati nyuzi za happy fools day,kwan wote humu tuna akili wotee... Mwnyw mjinga natafta wa kutoka nae kesho
0 Reactions
2 Replies
805 Views
If I Had One Wish"....... If I had one wish, boy I'd wish you next And it could be in summer, fall or spring, boy 'Cause you make my heart sing I wanna give my heart, my soul, my love to you Oh...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Kuna hili suala la wanawake kutongozwa kisha kumwambia mwanaume kuwa ametongozwa na flani na ameahidiwa kitu gani. Binafsi limenitokea mara kadhaa, kuna wanawake ambao ni marafiki tu wa kawaida...
1 Reactions
76 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…