Alikua girlfriend wangu wa zamani hakika yeye ndiye binti wa kwanza kumgegeda alinipenda sana na alinipenda sana kiasi cha kuniambia hatoolewa na mwingine ispokua mimi kwakua ndo ulikua mwanzo wa...
Weekend hii nimemsindikiza mshkaji kupeleka barua ya kuomba uchumba kabila flani ivi ni watu wa Ruvuma, tumekula tumekunywa weee manyama na mishkaki binti familia inajielewa na binti mwenyewe...
Habari zenu wapendwa wote humu JF,
Nimejitokeza ukurasa huu kwa mara ya kwanza, nikiwa nashida ya kupata mke.
Naitwa Michael umri wangu miaka 29 kabila masai naishi Singida Manyoni ni mfanya...
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
umbo ---wa kati
rangi-mweusi
dini-mkristo
umri-26
kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya...
Naje wakuu
Naona mnafaidi Tu vyuku mipilau roast peke yenu hata mualiko hakuna!
Heading yahusika
Kuna rafiki angu kaja kuniuliza juu ya kisa hiki
Alikua na demu lakini baada ya muda yule demu...
Wakuu Sikukuu mwenzenu nishaianza vibaya...
Nimepanda na kabinti kamoja kazuri ndani ya Hiace moja inayoelekea nje kidogo ya jiji hili. Tupo sisi na Dereva wetu mbele ya gari, haka kabinti...
TAHADTHARI:
"Mke wa mtu ni sumu" wana anoymous leo nita wadokezea nininihasa kupendwa na jimama na nkawa addicted kabisa. We kama unampango wakua na jimama futa hayo mawazo ndungu. Japo...
Salaam wana jamvi,
Kama mnakumbuka hivi karibuni nilileta uzi nikiomba ushauri wa namna ya kuepuka mawazo ovu ya kumgegeda house girl wangu hapa nyumbani.Nilieleza pia ni kwa jinsi gani hisia hizo...
Hv mnakumbuka wale tuliosoma boys...yn inafika wakati mtu anapiga nyeto mara tatu kwa siku kama dozi, yani asubuh, mchana na jion..ilikuwa hatari..[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Wangapi wameulizwa hivyo? Ni swali baya sana linadhalilisha sana utu, anayeuliza hivyo kwa namna moja ama nyingine ana kasoro kibao uwe na hela usiwe na hela.
Malipo ni hapa hapa duniani, jenga...
Jamani nyeti nilizopenyezewa sasa hivi ni kwamba jirani yangu ambaye ndoa yake ina miezi 8 tu imevunjika.
kwa mujibu wa mtonyaji wangu aliyehusika ktk usuluhishi wa mgogoro Wa wanandoa hao, ni...
Mimi ni kijana wa Kitanzania ninaishi mkoa wa Dar . Nina umri wa miaka 30 . Elimu yangu ni Masters Degree . Nina ajira inayoniingizia kipato. Nimechoka ukapela . Hivyo ,ninamtafuta mwanamke wa...
Mimi ni binti 25yrs, nahitaji mpenzi au mtu wa kuwa karibu nami na faraja, iam going through hard time kiasi na kwa magumu ninayopitia nahitaji rafiki mmoja wa pekee ataenifariji na kunishika...
Habari wana JF,
Niwatakie mkesha mwema wa pasaka,
Tatizo lipo hivi, kuna binti mmoja nilikua na mahusiano nae kwa kipindi cha mwaka hivi akiwa anafanya kazi hapa Dar, tukiwa kwenye mahusiano...
Nilikuwa single kwa muda mrefu sikuwa na imani na wakaka hata kidogo. Mwez jana nikakutana na mkaka mstaarabu na mwenye akili ya maisha alinivutia sana kwa maana alikuwa anahitaji mwanamke wa...
Habari wana-MMU.
Huwa naamini wanawake wengi wanaojitambua huwa wanaamua washike mimba au hapana na wengine hupata kwa kutokukusudia. Sasa mimi naomba niongelee kwa wale wanaojitambua,wanapokuwa...
Intelijensia inaonesha wasichana waliokulia katika familia duni yani masikini mno huwa wanatabia za kuwa malimbukeni wanapopata nafasi ya kutoka nje ya mazingira waliokulia. Hii inachangiwa zaidi...
Happy Easter Jf
Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ??? [emoji35][emoji35][emoji35] yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na...