Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

dompazuri

Member
Aug 14, 2016
30
125
Salaam wana jamvi,
Kama mnakumbuka hivi karibuni nilileta uzi nikiomba ushauri wa namna ya kuepuka mawazo ovu ya kumgegeda house girl wangu hapa nyumbani.Nilieleza pia ni kwa jinsi gani hisia hizo zimekuwa ni kubwa kuzidi uwezo wangu wa ku resist.
Ndugu zangu, wengi wenu mlinipa ushauri mzuri sana, wengine mlidiriki kunitumia meseji inbox kunisisitiza na kunitia nguvu niweze kumshinda huyu ibilisi aliyekuwe anatanda juu ya paa la nyumba yangu. Naomba niseme natambua michango na mawazo yenu, hakika ilikuwa ni mizuri na ya kujenga. BUT..

Kwa masikitiko makubwa, nawajulisha kuwa shetani alizidi kujiinua, na hatimaye akajitangazia ushindi katika vita ile, kwani Jana ndo ibilisi yule aliniangusha chini, na nikajikuta nipo chumbani kwa huyu binti nikiivunja amri ya sita.

NILICHOKUTANA NACHO, SIKUWAHI KUKIDHANIA.
Ndugu zangu, baada ya kumuomba gamu huyu binti, alikubali bila ku resist sana, alichokiongea kidogo ni kuwa anamuogopa DADA "Mke wangu". Nilipomuhakikishia usalama, na kumsisitiza kuwa pia ahakikishe hamuambii mtu yeyote , binti alinipa mambo bila hiyana. Kikubwa ni kuwa nilithibitisha kuwa hawa mabinti wa Kirangi yawezekana wanapata mafunzo murua juu ya mapenzi, kwani binti alikuwa anamwaga mauno ambayo sikuwahi kumdhania hata siku moja. Ni mauno ambayo sijawahi kuyaona katika ulimwengu huu.

Ndugu zangu, hapa nilipo naona hali inazidi kuwa mbaya, nipo kazini lakini natamani kurudi nyumbani nikamsalimie huyu binti. Kwakuwa wife amesafiri kikazi, nafikiria leo hii mambo yanaweza kuwa matamu zaidi.

Meanwhile: Naendelea kumuomba Mungu, anifungulie namna njema ya kuishi na huyu binti bila mambo kuharibika hapa nyumbani. Bila shaka, God will show me the way.....

Ahsanteni.
 

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,195
2,000
Meanwhile: Naendelea kumuomba Mungu, anifungulie namna njema ya kuishi na huyu binti bila mambo kuharibika hapa nyumbani. Bila shaka, God will show me the way.....
Rephrase
Meanwhile: Naendelea kumuomba Shetani, anifungulie namna njema ya kuishi na huyu binti bila mambo kuharibika hapa nyumbani. Bila shaka, Satan will show me the way.....

Tusimuweke Mungu kwenye upumbavu binafsi.
 

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,800
2,000
Hivi Mungu unamchukuliaje wewe?
acha kumchukulia Mungu km huyo House girl wako uliyemvua chupi
acha kumchukulia Mungu km Mkeo uliyeamua kumsalikiti kwa sababu ya huyo binti
acha kumchukulia Mungu km Baba na Mama yako nyumbani
acha kumchukulia Mungu km jamaa yako au rafiki yako
acha kumchukulia Mungu km ni kawaida ili mradi umemtaja tu
pumbavu kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom