Una hela wewe?

Wangapi wameulizwa hivyo? Ni swali baya sana linadhalilisha sana utu, anayeuliza hivyo kwa namna moja ama nyingine ana kasoro kibao uwe na hela usiwe na hela.

Malipo ni hapa hapa duniani, jenga heshima kwa kila mtu usimdharau mtu eti hana hela, jamani!!!?
Haaaaahh haaaaahh.! Kama ni mwanamke na ulikuwa unatia vocal basi ili usiondoke na kitu inayokaba roho unamjibu "sina hela ila nimepima Ngoma"
 
Sijawahi, hata hivo women are the short lived creatures hata akiniambia hivo hatafika mbali.
 
Back
Top Bottom