Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

Nakonde

Member
Oct 2, 2016
28
58
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
 
Nakusubiri ukimpata unifate PM. Huko nitajua nitakwambia nini
 
Mimi sifa zoote ninazo, ila kichwa changu ni vile vinaitwaga "vichwa maji".

Kama utaniweza, nije PM fastaaaaaaa.
 
poa nashukulu mungu naona dua zangu znakubaliwa sawa mm Nina kila ulichokitaka naomba uni pm tuongee zaidi
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Mapenzi ya kweli yakoje? Ni akukabidhi namba za siri za ATM na hati za nyumba ua unamaanisha nini?
 
Wewe mwenyewe ukoje? ukiona mwanamke anatafuta mwanaume hapa kwetu Africa tia shaka kidogo.
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni

jinsia yako ni ipi ke au me? maana mambo ya siku hizi balaa tupu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom