Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Habari wana-MMU.
Huwa naamini wanawake wengi wanaojitambua huwa wanaamua washike mimba au hapana na wengine hupata kwa kutokukusudia. Sasa mimi naomba niongelee kwa wale wanaojitambua,wanapokuwa katika uhusiano na mwanaume hata kama hawajaoana anaamua kubeba mimba ya mpenzi wake sasa naomba kujua kuwa wanafanya hivyo kwa sababu ;
1. Amempenda kwa dhati huyo mwanaume ?
2. Ni kama njia ya kulinda asiachwe na mwanaume huyo ?
3. Kutaka aolewe na huyo mwanaume ?
4. Aweze kupata mali ?
5. Anakuwa ametamani tu kuwa na mtoto na huyo mwanaume ili apate sifa katika jamii(hasa mtu huyo akiwa maarufu),anataka apate mtoto mzuri (endapo mwanaume huyo atakuwa na sura ya mvuto ) ?