Nishaurini kabla sijafanya uamuzi mbaya

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,301
8,704
Mbarikiwe sanaa na muwe na Pasaka Njema
AMANI YA BWANA IWE PAMOJA NANYI!
 
Jifunze kuwa jeshi la mtu mmoja, sio kila kitu chako lazima na marafiki wakijue kuwa msiri pia usiingilie mambo yake kama anatoka na dada wa ex wako au ex wako it's non of your business. Fata yako na fanya yako kimya kimya mbakie kuwa washikaji wa kawaida tu na sio kujuana nje na ndani
 
Fact mkuu Respect saana
 
By the way sio vizuri ku expose life story yako yote kwa rafiki. Rafiki; waswahili wanasema ni mkia wa fisi. Lazima sometimes ufanye mambo kivyako sio kila kitu lazima umshirikishe eti. Siku njema
Ahsantee sanaa kila la kheri katikaa hii sikukuu ya pasakaa
 
Mkuu huu uzi wako ungejaribu kuuhariri na kuuwekea aya ingeleta mvuto fulani wa kuisoma....umebananisha maneno hadi mtu anachoka kusoma
 
Kua wewe kama wewe sababu mwisho wa siku ts you alone

Sio lazima kua na "rafiki" na sio lazima rafiki akajua kila unalofanya

Jifunze kua na siri inasaidia
 
Kua wewe kama wewe sababu mwisho wa siku ts you alone

Sio lazima kua na "rafiki" na sio lazima rafiki akajua kila unalofanya

Jifunze kua na siri inasaidia
Get blessed madame jeshi la mtu mmoja sio
 
Back
Top Bottom