scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 457
- 326
Alikua girlfriend wangu wa zamani hakika yeye ndiye binti wa kwanza kumgegeda alinipenda sana na alinipenda sana kiasi cha kuniambia hatoolewa na mwingine ispokua mimi kwakua ndo ulikua mwanzo wa kuanza mahusiano yaani baada ya form four tu mapenzi yetu yalikua zaidi ya mubashara. 2012 tukawa tumeachana kuelekea masomoni na yeye akapiga short kati akaenda college.
Likizo ilivyofika mimi sikuweza kurudi nyumbani naye akawa amerudi likizo, iliniuma sana siku napokea ujumbe wa kusitisha na kukomesha mahusiano na mimi kutoka kwake na kudai nisimtafute hata siku moja na keshapata mchumba mwingine.
Kwakua kwao pesa ilikuwepo nami tayari yule binti nilishakula pesa yake nyingi sikuona taabu kwani nilijua tu vishawishi vya huko chuoni vimempoteza. Nilikubaliana maamuzi yake lakini nilikua nikimpigia simu anapokea kwa hasira nami nampa salamun a kukata simu kwani nilitambua mchango wake katika mahusiano.
Baada ya miaka 3 alipomaliza chuo baba ake wa kambo akawa amemfukuza kwao na kumpeleka kwa mama ake kijijini amekaa takribani mwaka mmoja sasa nastuka Jana ananipigia simu kwa roho nyepesi na sauti nyororo akinisalimia na kunambia amenimiss sana pia akilalamika kua maisha yamekua magumu kijijini kwani mpaka sasa hajapata ajira la kushangaza zaidi ni pale aliponiambia niiangalie mazingira ya hapa chuoni biashara gani tunaweza kufanya ili awe analeta mzigo toka Kigoma tusambaze hapa chuoni.
Sema kweli huyu binti nilikua nampenda sana lakini kwa usaliti wake sikua na jinsi zaidi kubadili gia hewani la kushangaza zaidi aliniuliza vipi ulishapata mchumba nikamweeleza bado na sina mpango. Kwa hili nashindwa kumuelewa imekuaje anataka kufanya biashara na mimi wakati hakutaka hata kunipigia simu.
Nawasilisha matusi sitaki. Nimwambia anipe mda nifikilie juu ya hill.