Natafuta mke serious

michael12

New Member
Apr 16, 2017
1
2
Habari zenu wapendwa wote humu JF,

Nimejitokeza ukurasa huu kwa mara ya kwanza, nikiwa nashida ya kupata mke.
Naitwa Michael umri wangu miaka 29 kabila masai naishi Singida Manyoni ni mfanya biashara nina duka la rejareja.

Sina kigezo chochote kile ila tu uwe tayari kupima afya!

Naomba kuwaomba wapendwa wa humu members kama unaona hii wewe haikufai please pita tu mimi ninajua ninachokifanya na ndio maana nimeandika sikutaka ushauri popote! Pia wewe kama ni mwanamke uliye kimasilahi please mimi sio wa type hiyo.

Naomba jiheshimu!

Kwa mawasiliano call:- +255 625 312 667
 
Vijana wa kiislam hawaoi jamnn..

Nasubiria tangazo lao kwa hammmm..hahhaah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom