Jamani nyeti nilizopenyezewa sasa hivi ni kwamba jirani yangu ambaye ndoa yake ina miezi 8 tu imevunjika.
kwa mujibu wa mtonyaji wangu aliyehusika ktk usuluhishi wa mgogoro Wa wanandoa hao, ni kwamba mke anamkera mumewe kwa kuwa hapendi utani. Wanaishi kwa kufuata mno utaratibu kana kwamba ni viongozi wa dini.
Mume inadai anapenda mke ambaye anaishi naye kama rafikj, kumtania kidogo na kisha wanacheka.
"Huyu mke wangu huyu tunaishi kwa kuongea mambo ya msingi tu. Inachosha". Alilalama njemba huyo.
My take: jamani ndoa ni dude lisiloeleweka.