Najaribu kupotezea lakini "roho inaniuma"

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
569
Wakuu Sikukuu mwenzenu nishaianza vibaya...

Nimepanda na kabinti kamoja kazuri ndani ya Hiace moja inayoelekea nje kidogo ya jiji hili. Tupo sisi na Dereva wetu mbele ya gari, haka kabinti nikakalia ubuyu maana mimi sipendagi kumshobokea demu (NOTE: demu ukimshobokea @ Day one atakusumbua kukupa Ny*chi)

Bahati nzuri kakaanza kenyewe...

Binti: kaka hivi huku "kaburi la mzungu" (sio jina halisi) kwa nini pameitwa hivyo? ...Jamani mimi sijawai fika huku mimi mwisho wangu kule "Airpot"... blah blah blah

Nikagundua(from stories tulizokua tunazinyuka) haka kaMsupa ndio walee watoto wa "milioni 8 pesa ya mboga kwa siku moja tu". Basi nikasema nyota ya jaa si ndio hii.

Timing yangu ilikua tukifika mwisho wa gari ndio mzee ntaomba zile digits 10 za kuwasiliana nae. Dah asee tukiwa tunakaribia kufika mwisho vimebaki kama vituo viwili rafiki zake waliokaa nyuma ya gari (ambaye mmoja ndio alikuwa mwenyej wake) wakashuka na kumwambia yeye aliekaa mbele "Aaliyah Tumefika Shuka"...

Mzee nikapewa "byeeee" ...Doooo

Isitoshe nilisimamia show ya nauli ya watu wote wa 4

Jamanii "Roho Inaniumaa Mieeee"--- in voice of ft Christian Bella ( Fid q- Roho )
 
Wanaume tubadilike tumezidi kutumia hela zetu kwa wanawake, jenga maisha, kuza uchumi wako hawa watu wapo tu na ukiwa huna watakudharau sana moaka mwenyewe utashangaa
 
Mkuu.... uko sahihi ila mapenz ndio yanayoRun dunia
 
Wakuu Sikukuu mwenzenu nishaianza vibaya...

Nimepanda na kabinti kamoja kazuri ndani ya Hiace moja inayoelekea nje kidogo ya jiji hili. Tupo sisi na Dereva wetu mbele ya gari, haka kabinti nikakalia ubuyu maana mimi sipendagi kumshobokea demu (NOTE: demu ukimshobokea @ Day one atakusumbua kukupa Ny*chi)

Bahati nzuri kakaanza kenyewe...

Binti: kaka hivi huku "kaburi la mzungu" (sio jina halisi) kwa nini pameitwa hivyo? ...Jamani mimi sijawai fika huku mimi mwisho wangu kule "Airpot"... blah blah blah

Nikagundua(from stories tulizokua tunazinyuka) haka kaMsupa ndio walee watoto wa "milioni 8 pesa ya mboga kwa siku moja tu". Basi nikasema nyota ya jaa si ndio hii.

Timing yangu ilikua tukifika mwisho wa gari ndio mzee ntaomba zile digits 10 za kuwasiliana nae. Dah asee tukiwa tunakaribia kufika mwisho vimebaki kama vituo viwili rafiki zake waliokaa nyuma ya gari (ambaye mmoja ndio alikuwa mwenyej wake) wakashuka na kumwambia yeye aliekaa mbele "Aaliyah Tumefika Shuka"...

Mzee nikapewa "byeeee" ...Doooo

Isitoshe nilisimamia show ya nauli ya watu wote wa 4

Jamanii "Roho Inaniumaa Mieeee"--- in voice of ft Christian Bella ( Fid q- Roho )
Unaishi wapi na mie nihamie uwe unanilipia nauli mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom