kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Happy Easter Jf
Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ??? yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na hata ukipiga simu Mara nyingine hapokei ?? Nilimfatilia na kuhisi ana mwanamke lakini wapi ?? Hana mwanamke na Ilo tatizo sio kwangu tu hata kwa marafiki na ndugu wanalalamika pia , mie mpenzi wake swala hili linaniumiza haswa naombeni msaada jinsi ya kuishi na huyu kiumbe jamani