Natafuta mwanamke wa kuoa

mlossy

Member
Jun 25, 2012
40
34
Mimi ni kijana wa Kitanzania ninaishi mkoa wa Dar . Nina umri wa miaka 30 . Elimu yangu ni Masters Degree . Nina ajira inayoniingizia kipato. Nimechoka ukapela . Hivyo ,ninamtafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 18 -35 sibagui dini wala kabila . Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia namba 0713153696 . Nipo serious ,not a joke. Ahsanteni .
 
Aamiin . Shunie nilivoona reply yako nikaanza kufurahi nikajua mambo yametiki nafungua hivi nakuta kumbe umeniombea dua . Ahsante kwa dua yako
 
usijal baña utawapata bana wapo wengi humu
Sema inaonekana hii account umecreate kwa ajili ya kutafuta madem tuu, hebu tupe accont yako nyingine ili nikupatie Dada angu bana maana yupo anaranda randa tuu
 
Huyu hapa kazi kwako. Chakarika kidume na usisahau kuleta mrejesho. Kila la heri na baraka Mkuu.

Natafuta mwanaume wakunioa

Mimi ni kijana wa Kitanzania ninaishi mkoa wa Dar . Nina umri wa miaka 30 . Elimu yangu ni Masters Degree . Nina ajira inayoniingizia kipato. Nimechoka ukapela . Hivyo ,ninamtafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 18 -35 sibagui dini wala kabila . Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia namba 0713153696 . Nipo serious ,not a joke. Ahsanteni .
 
usijal baña utawapata bana wapo wengi humu
Sema inaonekana hii account umecreate kwa ajili ya kutafuta madem tuu, hebu tupe accont yako nyingine ili nikupatie Dada angu bana maana yupo anaranda randa tuu
Sina account nyingine tofauti na hiyo . Hii account ni ya muda mrefu sana zaidi ya miaka mitatu wala sijaifungua hivi karibuni kwa lengo hilo ulilolitaja . Nipatie huyo dada yako nitamtunza vyema kaka .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom