Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,879
- 183,934
Intelijensia inaonesha wasichana waliokulia katika familia duni yani masikini mno huwa wanatabia za kuwa malimbukeni wanapopata nafasi ya kutoka nje ya mazingira waliokulia. Hii inachangiwa zaidi na ushamba wa pesa na mali kama magari,simu kali, shopping,outings na kujikuta wakijiuza hata miili yao ili kuhakikisha wanapata hivyo vitu na ndio miongoni mwa wale wasichana wasio na msimamo na kubabaika mno wanaotumia mapenzi kama mtaji wa kuishi vizuri mjini kwa kupenda slope za kuhudumiwa eti ndio watoe penzi.
Tofauti na wale wenye uwezo yani waliokulia katika maisha yani chakula draft mboga nane, gari zimejaa uani katika parkings ndani ma dstv, a/c , shopping na outings za family kila weekend katika hotels kali.Hivyo wao maisha kwao kawaida mno na hawababaishwi na wajinga jinga wa mjini. Wakipenda ni for real sio kimaslahi na wana misimamo.
Maoni yenu je kuna ukweli hapa? Na ni heri kuwa na yupi katika hawa???