Niwapongeze wanaume wenzangu wenye mke/mpenzi mmoja na hamchepuki, nyie sio watu wa kawaida!

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,915
19,125
Habari ya wakati huu.

Wanaume wenzangu ambao mmeoa mke mkoja au mna mpenzi mmoja na hamchepuki mnahitaji pongezi za ziada. Mnastahili heshima ya aina yake.

Kwa wanaume ambao mko sexully active hamhitaji unga wa kasongo 7 toka kongo au supu ya pweza na bado hamchepuki Shikamooni!!!.

Mimi mwenzenu mke/mpenzi mmoja hanitoshi, lakini pia nawahi sana kuchoka mke/ mpenzi, naishiwa hamu ya mwanamke mapema sana, mara mbili tatu nishamchoka nahitaji mwanamke mwingine, najua hili ni tatizo ila wenzangu mnaovumilia mpenzi/mke mmoja mnahitaji pongezi za ziada.

Kudumu na mke mmoja/mpenzi mmoja na usichepuke ni wito wa wateule peke yake, wengi tumeitwa ila wateule ni wachache, ninyi ni wateule. Hongereni sana.
 
Bora yako mkuu kwa kuwapongeza na kutambua uwepo wao maana wengi wa wadau wanaamini kila KE au ME anachepuka kumbe ni tofauti kuna couple zinaheshimiana na kutochepuka hata mara moja toka waanze mahusiano ama toka waingie kwenye ndoa.

Nami niwapongeze na kuwaombea kwa Mungu ili waendelee kuvishinda vishawishi vya shetani
 
Back
Top Bottom