babamuuza53
Member
- Feb 16, 2017
- 25
- 63
usipowashinda waandishi na mafarisayo katu ufalme wa Mungu hutouona;; Bw Yesu(hilo ni andishi la MAFARISAYO) sio neno la MUNGU.
We sema kama umempa mimba ndugu yako
yesu alisema hakuja kutengua torati .tena akasema dunia na vyote vitapita ila katika torati hata herufi moja haitaondoshwa milele na mileleIlo ni agano la Kale alipozaliwa yesu agano jipya vingi vilibadilika
Wapi nimesema alitenguayesu alisema hakuja kutengua torati .tena akasema dunia na vyote vitapita ila katika torati hata herufi moja haitaondoshwa milele na milele
naona unakimbia kivuli chakoIlo ni agano la Kale alipozaliwa yesu agano jipya vingi vilibadilika
Wapi nimesema alitengua
Uzao huu wa the Moabites na the Ammonites umelaaniwa: Deuteronomy 23:3. Kutembea na ndugu ni dhambi: (Leviticus 18:6–18)
Hilo jambo halijawahi kuruhusiwa agano la kale.ni waandishi tu wa biblia.Ilo ni agano la Kale alipozaliwa yesu agano jipya vingi vilibadilika
Hapana ndivyo ilivyoandikwa.Mmmh..sema imeandikwa wapi nisome huenda bible yako imekosewa..
Then adam na hawa watoto wao walizalianaje wakajaa dunia yote. Na wao si walikuwa agano la.kale nani aliwaruhusu wabanduane?Hilo jambo halijawahi kuruhusiwa agano la kale.ni waandishi tu wa biblia.
So hata uzao wa adamu maana tunaambiwa nao walioa dada zao piaWatoto waliozaliwa walifanyika laana..
Endelea kusoma Biblia yote!